Ally Kiba usikubali mshikaji wangu, wanataka kukushusha hao

Ukitaka kumpatanisha diamondi na Ali, waondoe watu walio mzunguka Ali kwani wengi wana chuki na diamondi
Ondoa tim Kiba, ondoa Ruge wa cloud(anakuza bifu kwa sababu zake binafsi) na queen wao Jokate (ni ex wa diamond hawakiachana vyema hawa), kama akiendelea kuwa na watu hao hawawezi kuja kupatana. Mashabiki wa kiba asilimia 99 ni wanao mchukia diamond, kuthibitsha hilo mbona Kiba alikuwepo kabla ya domo ila tim Kiba haikuwepo, yaan msanii atoke kisanaa mwaka 2006 halafu timu iundwe 2014!!! Na ukumbuke kipindi hiko Kiba alikuwa wamoto pia tena akipambana na Marlaw.

Kwa diamondi unahitaji kumtuliza tu Sallam huyu ndio huwa anakuwaga na kimuhe muhe na Kiba bila sababu, sasa huwa ana saidia kumkuza Kiba bila kujua atulie na yeye.

Kiba ni mkongwe ana miaka takriban 10 kwenye gem hana haja ya kutegemea bifu na msanii wa kimataifa Diamond ili kuweka jina lake juu tena akumbuke diamond kamkuta yeye kwenye gem. Diamond pia ni msanii wa kimataifa sasa kwa nini ana pick fights na local musicians!!!? Ajiamini naye sasa.
Hebu wapatanishwe sasa.
 
by Timu Tanzania[/QUOTE]

u have fact bro..but bifu hili linamjenga Kiba..sure sallam na yule jamaa anaitwa Ricardo mamo huwa wanampa kiki sana allykiba..post zao za insta nying michambo
 
by Timu Tanzania

u have fact bro..but bifu hili linamjenga Kiba..sure sallam na yule jamaa anaitwa Ricardo mamo huwa wanampa kiki sana allykiba..post zao za insta nying michambo[/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa unataka useme kwamba kwenye bifu ndio jamaa ana patia ugali!!
Yaani mwenzake anahangaika ana enda south kutoa video, anawalipa kina Psquare na Ne-Yo wapige colabo halafu AK na nyimbo zake na kina baraka da prince na video zake mbaya zile ndio awe ana shindana naye!! Haaa hapana jamani sasa hapo AK atakuwa ana dhulum jitihada za mwenzie, wapatanishwe kila mtu atafute ugali wake.
Sallam anaudhi kwel kuna siku ntamfungulia uzi wake hapa ili ujumbe umfikie. Ana fanya kazi ya kumtangaza Kiba kuliko hata yeye mwenyewe Kiba anavyo jitangaza sasa aache woga msanii wake is too god to push local fights
 
kiba hawezi kupatana na mond maana atachuja vibaya vibaya....
anatembelea bifu la mond kila mtu anajua hilo!!
mafans wa kiba ni Anti- diamond

ukifanikiwa huwezi kupenda na wote, nusu watakua na chuki binafsi
sasa kiba amebeba antichibu wote..
wamemtengeneza kiba a battle na diamond!
sasa kiba akipatana na diamond ndo mwisho wake
maana itabidi atembelee rasmi nyota ya mond na lazima atakua chini ya mond!
mkubali mkatae Diamond ndo 1st..
wengine watakuja baadae[emoji123]...

ngoja nikaangalie CoceatudioZA mie
bonge moja la collabo casper& mond
1love
 
umeisikia ile collabo ya mond na casper lakini?
 
mziki wa kiba umepoa achangamke dunia ya sasa watu wanataka kucheza sio kusikiliza mziki ni burudan
 
Back
Top Bottom