Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Napenda kuwajulisha wadau na wapenzi wote wa Ally Saleh Kiba kuwa yu mzima wa afya njema. Nasema nikijiamini kwa kuwa nimemuona mwenyewe kwa macho yangu sasaivi akiwa 'live' katika kipindi cha 'Friday Night Live' kinachorushwa na EATV. Amesema alipata michubuko tu kidogo, hakuumia......... tunamshukuru Mungu kwa kukuepusha na kukuombea afya njema