Ally kiba's birthday

Aishah2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,225
Reaction score
2,482
Kwa taarifa tu msifikirie ali kiba alikwenda kupoteza pesa zake kwa show off ambazo hafanyagi. Kisa birthday ukweli huu hapa mr king kiba alifanya safari zake huko sayari camp serengeti kwaajili ya kazi ambayo itamtangaza kimataifa na pengine tuzo za grammy zitamuhusu safari hii mr king kupitia mtengeneza film za kimataifa bw [HASHTAG]#simone[/HASHTAG] [HASHTAG]#pacorari[/HASHTAG] akishirikiana na uongozi wa @g.Salome .

Imetengenezwa documentary(makala) kubwa ambayo itarushwa hewani na vituo mbali mbali vya habari kimataifa. King amefika hatua kubwa za kimataifa za kutangaza utalii ..Swala ambalo litampa nafasi kubwa sana yakua mtu wa pekee na msanii wa pekee kutangaza utalii wa ndani kimataifa.

Pete ya kijani inatusaidia
 
Hivi tuzo grammy unazichukulia poa kiasi hicho! Sema atafika hatua kubwa, sio amefika!!! kwani hiyo documentary imeshatoka tukaona impact zake?

Au umehesabu na yale matembo yanayopitapita kwenye ile video yake ya Lupela kama ameshafikia hatua kubwa?
 
Mbona kama umepanick bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maTembo
 
Safi ni jambo zuri sana kafanya yule mwenzake alifanyia nyumbani akiwa uchi
Hapo alikuwa anaogopa kulowanishwa na nguo.japo si mbaya hata na wewe siku yako ya kuzaliwa ukajaribu kujikumbusha ulitokaje tumboni kama una aibu jaribu hata chumban kuna ka ladha flani ka tofauti!
Alaf me nashangaa sana hii style ya kumwagiana maji kwenye birthday party imetokaga wapi! Mpak inakuw kero
 
Dah labda ililetwa na Adam na hawa [emoji3]
 
Mmh sidhan kama ni 40 nahs ka atakuwa kwenye 30's
Kuna thread humu walimchomekea kuwa atatimiza 40 soon so mambo ya kumgombanisha na Diamond tu..

Mbona huji kule na wewe
 
Umekosea sana kuwaambia mkuu hawachelewi kwenda kukata network maana wapo wasiopendezwa na maendeleo ya Kiba humu... Anyway, tumuombee tu amalize salama na yeye pia asisahau kumtanguliza mungu katika hili ili liishe salama
 
Hahaha watamzimia Mike nn
 
takataka gani tena hii????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…