Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Kwa taarifa tu msifikirie ali kiba alikwenda kupoteza pesa zake kwa show off ambazo hafanyagi. Kisa birthday ukweli huu hapa mr king kiba alifanya safari zake huko sayari camp serengeti kwaajili ya kazi ambayo itamtangaza kimataifa na pengine tuzo za grammy zitamuhusu safari hii mr king kupitia mtengeneza film za kimataifa bw [HASHTAG]#simone[/HASHTAG] [HASHTAG]#pacorari[/HASHTAG] akishirikiana na uongozi wa @g.Salome .
Imetengenezwa documentary(makala) kubwa ambayo itarushwa hewani na vituo mbali mbali vya habari kimataifa. King amefika hatua kubwa za kimataifa za kutangaza utalii ..Swala ambalo litampa nafasi kubwa sana yakua mtu wa pekee na msanii wa pekee kutangaza utalii wa ndani kimataifa.
Pete ya kijani inatusaidia