Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Ushaongozwa na huyo aliefaulu mbona katuaribia soka letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi mkuu,duhhh,kula like,maana kuna watu akili zao.ni zaidi ya ZeroKwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
Kwa kelele zile za Julio mwerevu atanga'amua tu kuwa kuna kitu anaficha (nayo ni ELIMU). Pole yakeJulio kaishia la Saba na Mayai ana Yai form4 kwa hiyo Julio lazima amuheshimu Mayai kielimu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app