Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Kwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
Safi mkuu,duhhh,kula like,maana kuna watu akili zao.ni zaidi ya Zero
 
Mi nadhani waliopata ziro ndo wanakuaga viongoz bora. Hongera mayai..uliweza kujiongeza kutoka ziro had ss hiv ni msomi wa shahada inaonesha unauwezo kuutoa mpira wetu kwenye ziro na kufufikisha juu. Mimi kama mjumbe wa tff nitakupa kura yangu. Nawaomba wajumbe wenzangu haswa wa kagera na mikoa yote ya kanda ya ziwa tuweke tff mbele kwa manufaa ya nchi yetu. Vihela tuvihukue lakn kura zote kwa kizaz kipya tena cha mpira. Mayai yuko vizuri hata ukisikia uchambuz wake kwenye tv anaweza kutusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…