Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Tumeanza na hiyo tutaendelea kudonyoa donyoa kadiri muda utavyoruhusu.
 
watu wapuuzi sanaa, jitu linakwambia mkibisha analeta mengine hahahaahah dunia itoe tuzo kuna watu wana vipaji vya kuchukia, yaani kuna watu hata uwajui ila wanakuchukia hatari.
Mkuu, mtoa mada yupo kazini, hafu hajui hata namna ya kuwasilisha mada...
Malinzi ndo kawatuma Wajinga wajinga hivi wake kuchafua opponents wake humu!!?
 
Atoe vyeti original.. Hapati uongozi kwa namna yeyote Leo tumerusha la vyeti..stay tuned kesho tunabamiza tena..

Sio tunashinda kimkakati.. Sie tumesoma buana..mnatuletea elimu ya kuunga unga
 
Wahaya tuungane kwa hili jambo.
 
Pu.mbavu kabisa,yaani kuna uhusiano gani wa mtu kupata zero na kuongoza mpira?Hiyo zero aliipata kwenye mazingira gani?Zero ya Six unaweza tu kuipata na haimaanishi huna akili!Unless ukiwa na zero upstairs ndipo utashindwa kujua hili.Kampeni dhaifu kabisa hii,na utakuwa umelenga wapu.mbavu wenzio
 
Tena wakati unaandika ujinga wako ukumbuke benki kuu ya Tanzania kuna PhD kumi na saba!
 
Hizo propaganda uchwara haziwasaidii wapiga debe wa Malinzi.Kiufupi tunamtaka tu Ally Mayay,hata kama alipata zero kuanzia Vidudu,Chekechea,Nursery,primary,shule ya msingi,secondary na chuo.

Mayay saaaaaafiiiiiiiii!!yaani hata jina tu linajieleza,"Mayai".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…