Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Wakati nafanya degree 2001 ya kwanza nadhani ulikuwa unanyea poti.. Na kuvaa pampers.. Ikutoshe tu am a senior member Hapa jf.

Kosa lako Leo uba bleed bi Dada..una hasira hasiraaaa

Duh weka picha zako tukuone
 
Unaleta habari za saluni mkiwa mnasukana. Kajipange upya, TFF hakuna mtihani wa NECTA.
 
Ninachojua ni kuwa mgombea sahihi kabisa Ali tembele ana shahada ya kwanza ndio maana amechukua form na anakidhi vigezo na kanuni za uchaguzi za TFF zinazotaka mgombea wa nafasi ya urais walau awe na shahada ya kwanza.
 
Rugalabamu acha uzushi
 
Ninachojua ni kuwa mgombea sahihi kabisa Ali tembele ana shahada ya kwanza ndio maana amechukua form na anakidhi vigezo na kanuni za uchaguzi za TFF zinazotaka mgombea wa nafasi ya urais walau awe na shahada ya kwanza.
We we humjui...sie tumeishi nae..tumekua nae..tulieni mrambe dawaa..kesho napiga tena kombora la pill.
 
Kwani urais wa TFF unasomewa wapi? Kama RC anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu, ndio itakuwa mpira huu ambao hata asiyejua kusoma anaujua?
 
Mh, mtoa mada hakuna chochote cha msingi na huna details zozote. Kwani kukaa Nate cjui kumjua mama yake ndiyo mini. Toa ushuzi wako mfyuuu
 
Ndo malinzi kakutuma uzushe hivyo? Tunamtaka hivyo hivyo mbona Kuna mmoja anaongoza mkoa na kafoji vyeti
 
Hili jina amekupa nani?
 
Neng'enekeniiiii lakini August mtupishe hapo Karume
 
Ana degree lakini ujue. Alafu hata wewe hujui alipata 0 level gani basi utulie. No research no right to speak.
 
Decision 0 ndo nn kwanza? Maana mleta mada nae huenda alikimbia darasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…