Ally Mayai Tembele anaichokoza Yanga


tuendelee na uendeshaji huu huu wala Ali Mayai asitutoe kwenye reli, huyu kalipwa na Mwamedi kutuchafua.
huu uendeshaji tunaoutumia sasa hivi ndo mzuri zaidi kwa maslahi mapana ya club.
kama unavyojua Yanga ndo club mama hapa nchini tumemzidi Simba kimpira na hata kiuendeshaji, ndo mana tukawachukulia Senzo aliyekuwa c.e.o wao
 
Ally Ameongea kiuweledi sana kiukwl mimi ni Yanga Dam na naichukia sana simba ila huwez kubishana na ukwl simba ndio club kubwa na bora sana kwa sasa nadhani huu mchakato wetu wa mabadiliko uende haraka zaid sasa hv simba wamebaki wapinzani wa jadi but we can't compete with in and out of the peach makala ya mayai ipewe uzito mkubwa bado hatujachelewa sana
 
Aliyeileta ndio kachelewa mayai aliandika hii mwaka mmoja au mmoja na nusu nyuma
 
Umbumbumbu uki kujaa hakuna lolote unaloweza kuona. Kama hufahamu Simba Haina tofauti yoyote na Yangs, Simba Haina chochote Cha kujivunia Kama Klabu, Anacho fanya MO Hana tofauti yoyote na alichokua anafanya manji, Mbaka Sasa Simba haijakamilisha chochote katika mabadiliko ni Kama Yanga. Simba Kama Klabu mapato yake ni mauzo ya jezi, mapato ya mlangoni, udhamini wa vpl, sports pesa na Juis za MO yaani ni sawa na Yanga.
Anacho fanya MO ni mapenzi binafsi Kama alichokua akifanya Manji. Leo hii MO akitoka Simba Haina Bajeti ya kuiendesha Klabu Kama inavyo fanya Sasa.
Ila kwakua Mbumbumbu hawalioni Hilo ndio maana wanajidanganya.
MO amefanya kusudi kuipeleka Klabu kwenye Bajeti ya bilion karibu sita ili siku akisusa mwende mkapige magoti hafanyi kwa bahati mbaya.
 



Mayayi tembele

Kaongea pumba Yanga wako na trasfomation from LALIGA

Siku Mo biashara zake zikiyumba basi Simba hapo hapo imekufaa.

Simba nitimu ya familia ya muhindii





Ona mnavyotembea na biti la mayai

 
Ukigusa botton "S" kwenye simu na computer za mauto suggestions juu mpaka chini zinakuja simba... Simba... Simba...

Tunawashukuru sana uto kwa kutufanya simba kuwa timu inayofuatiliwa na watu wengi sana kwenye mitandao. Kwa siku wakifuatilia/kujadili simba wanasimba milioni 4 na uto milioni 3 jumla milioni 7 ni hatua kubwa sana
 
Uelewa wako unatia sana shaka, yaani ni mdogo.
Kwa hiyo Azam au Prison zina mashabiki wengi ila hawataki tu kwenda viwanjani zinapocheza? Huyo mtu kazunguka viwanjani na kaona mashabiki wanajaa timu fulani inapocheza. Sasa unaidharau vipi hoja ya mashabiki kujaa viwanjani timu fulani inapocheza kwamba si kiashiria cha timu hiyo kuwa ina mashabiki wengi? Unajua kwa nini timu kubwa mfano huko ulaya zina viwanja vikubwa na timu ndogo zina viwanja vidogo?

Pia hoja ya kufa hujaielewa vizuri, kiufupi IQ yako ni ndogo sana kuelewa hoja kiupana.
 
Adui yako muombee njaa.

Natamani siku ya kupigana masumbwi pale Jangwani ije haraka.
Walishapigana Sana. Ungebahatika kumuuliza Mzee Mengi (RIP) angekwambia kilichotokea pale uwanja wa ndani wa Taifa wakati anawasilisha mpango wa mabadiliko ambao Simba ndiyo inautekeleza sasa kitu ambacho yanga wangetekeleza sijui leo hii wangekuwa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…