Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta hapa hizo takwimuMayai ni mwanachama wa Yanga.
Kaongea ukweli hata takwimu za mapato ya viwanjani msimu uliopita yanaonyesha Simba inaongoza.
Hizi ni propaganda za utelembwe tu wasimsingizie Ali, hivi mtu ukizunguka viwanja vyote nchini ndio kigezo cha kujua timu flani ina mashabiki kiasi gani? eti yanga labda ilikua na mashabiki wengi miaka ya sitini wakajisaau na kubweteka kwamba mashabiki wanakufa na kuzaliwa hii ni oja ya kijinga kabisa, kwa mahana hiyo wanaokufa ni mashabiki wa yanga pekee na wasimba hawafi? na wote wanaozaliwa ni mashabiki wa simba pekee?
Huyu atakua sio Ali Mayai na kama kweli ni yeye basi IQ yake ni ndogo Sana kwa vigezo vipi mpaka aseme yanga awawezi kushindana simba ndani na nje ya uwanja
Hata wakiyafanyia kazi wamechelewaKaandika kiweledi Sana na kwa kuwa alikuwa ni mchezaji wa Yanga, nadhani maoni yake watayafanyia kazi.
Aliyeileta ndio kachelewa mayai aliandika hii mwaka mmoja au mmoja na nusu nyumampira wa tanzania unashida sana, tena hawa wanaojiita wachambuzi
leo upepo ukienda vizuri msimbazi baasi yeye ataandika anayotakaa kuhusu yanga! Nashangaa hii makala ameandika ALLY MAYAY tunaemfahamu sisi. kuona simba kashinda mechi mbili basi, kaona yanga bado imeng'ang'ania mfumo wa zamani. Hivi huyu Ally hajui yanga wako katikati ya mchakato wa mabadiliko???
Mayayi tembeleNa vile hampendi kuambiwa ukweli
Halafu si shabiki mwenzenu huyo
😅 punguza ukorofi...Na vile hampendi kuambiwa ukweli
Halafu si shabiki mwenzenu huyo
Tatizo hamtaki ukweli mnapinga pinga tu ebu msikilize hata kidogo alichowaambiaMayayi tembele
Kaongea pumba Yanga wako na trasfomatiom from LALIGA
Siku Mo biashara zake zikiyumba basi Simba hapo hapo imekufaa.
Simba nitumia ya familia ya muhindii
Kidogo tu [emoji6][emoji28] punguza ukorofi...
Punguza kabisa raia watakusikitisha sana...Kidogo tu [emoji6]
Umbumbumbu uki kujaa hakuna lolote unaloweza kuona. Kama hufahamu Simba Haina tofauti yoyote na Yangs, Simba Haina chochote Cha kujivunia Kama Klabu, Anacho fanya MO Hana tofauti yoyote na alichokua anafanya manji, Mbaka Sasa Simba haijakamilisha chochote katika mabadiliko ni Kama Yanga. Simba Kama Klabu mapato yake ni mauzo ya jezi, mapato ya mlangoni, udhamini wa vpl, sports pesa na Juis za MO yaani ni sawa na Yanga.
Anacho fanya MO ni mapenzi binafsi Kama alichokua akifanya Manji. Leo hii MO akitoka Simba Haina Bajeti ya kuiendesha Klabu Kama inavyo fanya Sasa.
Ila kwakua Mbumbumbu hawalioni Hilo ndio maana wanajidanganya.
MO amefanya kusudi kuipeleka Klabu kwenye Bajeti ya bilion karibu sita ili siku akisusa mwende mkapige magoti hafanyi kwa bahati mbaya.
Mayayi tembele
Kaongea pumba Yanga wako na trasfomation from LALIGA
Siku Mo biashara zake zikiyumba basi Simba hapo hapo imekufaa.
Simba nitimu ya familia ya muhindii
tuendelee na uendeshaji huu huu wala Ali Mayai asitutoe kwenye reli, huyu kalipwa na Mwamedi kutuchafua.
huu uendeshaji tunaoutumia sasa hivi ndo mzuri zaidi kwa maslahi mapana ya club.
kama unavyojua Yanga ndo club mama hapa nchini tumemzidi Simba kimpira na hata kiuendeshaji, ndo mana tukawachukulia Senzo aliyekuwa c.e.o wao
Na Ally Mayai Tembele
Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.
Wanakataa kwa maneno lakini wanakubali kwa matendo!!Ona mnavyotembea na biti la mayai
Uelewa wako unatia sana shaka, yaani ni mdogo.Hizi ni propaganda za utelembwe tu wasimsingizie Ali, hivi mtu ukizunguka viwanja vyote nchini ndio kigezo cha kujua timu flani ina mashabiki kiasi gani? eti yanga labda ilikua na mashabiki wengi miaka ya sitini wakajisaau na kubweteka kwamba mashabiki wanakufa na kuzaliwa hii ni oja ya kijinga kabisa, kwa mahana hiyo wanaokufa ni mashabiki wa yanga pekee na wasimba hawafi? na wote wanaozaliwa ni mashabiki wa simba pekee?
Huyu atakua sio Ali Mayai na kama kweli ni yeye basi IQ yake ni ndogo Sana kwa vigezo vipi mpaka aseme yanga awawezi kushindana simba ndani na nje ya uwanja
Walishapigana Sana. Ungebahatika kumuuliza Mzee Mengi (RIP) angekwambia kilichotokea pale uwanja wa ndani wa Taifa wakati anawasilisha mpango wa mabadiliko ambao Simba ndiyo inautekeleza sasa kitu ambacho yanga wangetekeleza sijui leo hii wangekuwa wapi.Adui yako muombee njaa.
Natamani siku ya kupigana masumbwi pale Jangwani ije haraka.