Ally Mayai Tembele anaichokoza Yanga

Sema uongo wake?..... alichoongea ni kweli mkuu
 

Msolla hautaki mfumo wa mabadiliko.. maana atakosa pa kula... ila anazuga anautaka kwa kuurefusha.. ili mpaka utimie yeye ameshavuna vya kutosha na umri wa kustaafu umefikia...
 
Kuna wakati nilidhani Ally Mayai ana akili kumbe nae hajitambui. Alipaswa kueleza aina ya uendeshaji wa club tunaohitaji na ambao ni endelevu. Mo akisema amejitoa Simba hakuna chochote kinachobakia cha kuitegemeza timu, ndivyo ilivyo kwa GSM na Yanga. Kwa ufupi hawa ni wafanyabiashara walioamua kupiga watu kupitia upinzani wa jadi wa hizi club.
 
Dah! Kweli mashabiki wa simba ni zombie generation yahani wewe unazni simba inavyocheza mashabiki wote wanaoingia uwanjani wanashabikia simba? na inshu kama kujaa uwanjani tumeona hata yanga akienda mikoani anapata nyomi ya kutosha sasa sijui hua mnaangalia mechi tu za simba za wenzenu hamzioni?
Halafu lazima utambue mashabiki wengi wa mpira bongo wanatabia ya kwenda uwanjani timu yao inapofanya vizuri, mfano ni ule msimu mbeya city ilipopanda daraja katika ule msimu timu iliyokua inaongoza kuingiza mashabiki uwanjani ilikua ni yanga ikifatiwa na mbeya city then simba na azam kipindi hicho simba walikua hawafanyi vizuri hivyo hata mashabiki wengi wasimba walikua hawaendi uwanjani lakini usingeweza kusema mbeya city ina mashabiki wengi kuliko simba kwasababu tu mbeya city mechi zao zilijaza mashabiki uwanjani kuliko simba
 
Mchakato gani wa mabadiliko inaochukua siku zote hizo? Waneomba Ushauri na mapendekezo wanepewa, sasa mbona utekelezaji wake hauonekani tokea wapewe huo ushauri wa namna ya kendesha klabu? Halafu tunadanganyika kipumbavu eti klabu iendeshwe na wananchi, mwekezaji mwananchi. Hakuna kitu kama kwa sisi watanzania hiyo mifumo ni migumu sana kuendesha timu zaidi ya kutengeneza mirija ya ulaji kwa watu. Timu ipewe watu wenye ela zao waendeshe (wawekezaji)

Viongozi wa Yanga wanawanya mashabiki kama mazumbukuku na mashabiki nao wamekuwa wazumbukuku kabisaa. Tutabakia kulalamikaga tu tunaonewa tunaonewa lakini tunashindwa kuangalia matatizo yetu kwa jicho lingine.
 
Inawezekana Simba ikawa inaizidi vitu vingi sana Yanga kwa miaka hii ya hivi karibuni,lakini kwenye suala la ni nani mwenye mashabiki wengi mimi naamini Yanga ina mashabiki wengi zaidi kuliko Simba.mimi ni mshabiki wa Simba.
 
Inawezekana Simba ikawa inaizidi vitu vingi sana Yanga kwa miaka hii ya hivi karibuni,lakini kwenye suala la ni nani mwenye mashabiki wengi mimi naamini Yanga ina mashabiki wengi zaidi kuliko Simba.mimi ni mshabiki wa Simba.
Labda ungesema timu gani ina wanachama wabishi nongekukubalia ni yanga lakini kila kwenye kijiwe cha mpira washabiki wengi ni wa simba
 
Hili andiko limechapishwa lini na wapi? Maana hii msg ina zaidi ya mwaka inatumwatumwa.Msimlishe Ally Mayai maneno ili aonekane mbaya mbele ya wananchi.
 
Nakubaliana naye kwa baadhi ya mambo, lakini la wingi wa mashabiki hapana.
 
Wanaozaliwa wanakuta mafanikio ya simba kwa hiyo wanatembea na shangwe za mfalme wa Pori ,nani atembee na utopolo a k a maccm
 
Wanaozaliwa wanakuta mafanikio ya simba kwa hiyo wanatembea na shangwe za mfalme wa Pori ,nani atembee na utopolo a k a maccm
kumbe waziri mkuu, spika wa bunge kina makonda hawa mashabiki wa mikia fc ni makada wa chadema?
Always mashabiki wasimba kuna baadhi ya nati hua zimelegea kwenye brain zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…