kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mzize bado anajitafuta haujafika anakokwenda. Ana duka la nguo ambalo lilikuwa halibagui wateja lakini sasa bundi (Ally) kaenda kuligeuza liwe duka la kijana liwe la Yanga na wanayanga tu. Ally una nini kwani, mbona Yanga Yako mengi yanayopaswa kufanywa kuliko hilo? Mpira wetu wa Simba na Yanga unachezwa ndani na nje ya uwanja kwani hulijui hilo Ally?
Kuna wakati idara ya habari inatoa Siri za jando za kambi kuwaonyesha Simba ni aina gani ya mazoezi Yanga inafanya ili Simba nayo ifanye hivyo kama ikitaka kuwa Bora kama Yanga. Wanaonuesha wachezaji wanavyohenya gym na kiwanjani. Yaani wanamuamsha aliyelala kiaina. Wakati mwingine nadhani ndani ya Yanga Kuna mamluki.