Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ukishaona unaitwa mbumbumbu, basi tambua fika inaweza kukuchukua hata mwaka mzima kukielewa kitu kidogo tu!Ndo nini sijaelewa hasa para ya mwisho
Au umesahau hata Rage alilazimika kuwaita mbumbumbu kutokana tu na uwezo wenu mdogo wa kuelewa mambo kwa wepesi?