Ally mwache Mzize apambane, utamharibia

Ally mwache Mzize apambane, utamharibia

Ndo nini sijaelewa hasa para ya mwisho
Ukishaona unaitwa mbumbumbu, basi tambua fika inaweza kukuchukua hata mwaka mzima kukielewa kitu kidogo tu!

Au umesahau hata Rage alilazimika kuwaita mbumbumbu kutokana tu na uwezo wenu mdogo wa kuelewa mambo kwa wepesi?
 
Peleka uzuzzu wako huko...
Utopolo wenzake wenyewe hawamwelewi
 
Wewe ni bonge la pumbavu
Wewe ndio zuzu kabisaaaaaa, mmekwenda kumharibia kijana badala ya kumsaidia. Kuna jamaa mmoja alikuwa akisikiliza na kuangalia sana redio ya Magic FM na tv ya channel ten, lakini tangu CCM watangaze kuwa ni mali zao, yule jamaa ananiambia hasikilizi na kuangalia Tena. Mzize anahitaji kuitangaza biashara yake lakini sio kwa aina hiyo aliyofanya Ally. Ndiyo maana GSM, sportipesa, crdb, NBC, Azam wanapenda kufanyakazi na timu nyingi na ikiwezekana YANGA na Simba ziwemo kwa pamoja kwa kuhofia kuwakosa wateja wa upande mwingine kwenye bidhaa zake. Hii nayo inahitaji akili kubwa?
 
Ana hoja! Duka la Mzize linawategemea wateja wote( Watanzania wote) na siyo mashabiki wa Yanga pekee maana hapo kuna bidhaa tofauti na siyo jezi za Yanga pekee, Hako Kajamaa Ally kajinga na kapuuzi.
 
Wewe ndio zuzu kabisaaaaaa, mmekwenda kumharibia kijana badala ya kumsaidia. Kuna jamaa mmoja alikuwa akisikiliza na kuangalia sana redio ya Magic FM na tv ya channel ten, lakini tangu CCM watangaze kuwa ni mali zao, yule jamaa ananiambia hasikilizi na kuangalia Tena. Mzize anahitaji kuitangaza biashara yake lakini sio kwa aina hiyo aliyofanya Ally. Ndiyo maana GSM, sportipesa, crdb, NBC, Azam wanapenda kufanyakazi na timu nyingi na ikiwezekana YANGA na Simba ziwemo kwa pamoja kwa kuhofia kuwakosa wateja wa upande mwingine kwenye bidhaa zake. Hii nayo inahitaji akili kubwa?
Jobless upo nyumban kwa mume wa dada yako umekaa umelala kwenye mkeka unaandika huku umejilegeza
 
Ndo nini sijaelewa hasa para ya mwisho
Wacha nilijibu hili. Kama Ukimsifia sana mkeo hadharani mbele ya wanaume wenzako ujue ni njia nyingine ya kumuuza kwa wanaume wamchukue,

Inawezekana watu wa media wa Yanga wanapost mazoezi makali na aina ya mazoezi ya Yanga wanayofanya wakiwa gym, ufukweni au uwanjani kwa njia ya kuonyesha ubora wa Yanga, lakini tabia hii inafungua codes za Siri za Yanga kwa adui kwanini Yanga wako fiti kwenye mechi. Inawezekana wanafanya hivyo kwa kujua au kutokujua.

Waache tabia hii, watu wa Yanga tunahitaji matokeo uwanjani TU na sio namna wanavyoyapata.
 
Mzize bado anajitafuta haujafika anakokwenda. Ana duka la nguo ambalo lilikuwa halibagui wateja lakini sasa bundi (Ally) kaenda kuligeuza liwe duka la kijana liwe la Yanga na wanayanga tu. Ally una nini kwani, mbona Yanga Yako mengi yanayopaswa kufanywa kuliko hilo? Mpira wetu wa Simba na Yanga unachezwa ndani na nje ya uwanja kwani hulijui hilo Ally?

Kuna wakati idara ya habari inatoa Siri za jando za kambi kuwaonyesha Simba ni aina gani ya mazoezi Yanga inafanya ili Simba nayo ifanye hivyo kama ikitaka kuwa Bora kama Yanga. Wanaonuesha wachezaji wanavyohenya gym na kiwanjani. Yaani wanamuamsha aliyelala kiaina. Wakati mwingine nadhani ndani ya Yanga Kuna mamluki.
Ulichoandika ww mwenyewe umekielewa.
 
Watu wa media waache wachezaji wakazane kuisaidia timu bila kujua kuwa wanajisaidia wenyewe pia. Kuwasifu sana ni sawa na kumuweka mchezaji juu ya timu na nje ya timu. Kiongozi wa timu asifanye hivyo kwa wachezaji. Wacha mashabiki wafanye hivyo kama wakitaka. Hakuna mchezaji anaweza kuisaidia timu peke yake kwenye mechi, atahitaji msaada wa wachezaji wengine ili kuupata mpira uwanjani. Hakuna mchezaji peke yake atasababisha timu ishinde au ipoteze mchezo.
 
Back
Top Bottom