OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimefurahi uliposema Yanga ni mechi ndogoMechi ndogo apewe huyu mf Yanga,Ihefu,Kmc nk
Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale.
Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.
😅😅😅Nimefurahi uliposema Yanga ni mechi ndogo
Mwameja
Tena kwa mechi ya jana dogo ili awe safe inabidi aanze kumwamkia manula shikamoo hata mara tatu kwa siku, awe anambebea viatu mazoezini, awe anamfuta jasho kila wakimaliza mazoezi.Huyu awe anapewa nafas mara kwa mara, anatufaa sanaa, ila tyuuh awe makini na Manulaa asije mpiga misumarii ikawa soo daaah.
Katuheshimisha jana.
Mshery huyu afanane na Salim? Hebu acha zako wee, eti Hata Robo, sasa mshery ana nn??Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
Hapanaaa nayee akaage vizuri kwao, yaan awe ngangangaaa, manura akirusha kitu, kirudi kilikotokaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kwa mechi ya jana dogo ili awe safe inabidi aanze kumwamkia manula shikamoo hata mara tatu kwa siku, awe anambebea viatu mazoezini, awe anamfuta jasho kila wakimaliza mazoezi.
Yaani ajipendekeze kwli kweli kwa manula, vinginevo manula akiomba tuu likizo ya kwenda kusalimia turiani morogoro dogo imekula kwake.
Ndo umeamua kujiita Baleke Chama?
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale.
Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.
Wala tusibishane kwenye kitu ambacho kitajiweka wazi chenyewe. Kwavile umesema gari imewaka, acha tuendelee kuliangalia ilo gariMshery huyu afanane na Salim? Hebu acha zako wee, eti Hata Robo, sasa mshery ana nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nichekeee, gari limewakaa hivyooo.
Zamani OKW BOBAN SUNZU ipo kwenye signatureNdo umeamua kujiita Baleke Chama?
Sawa mkuuZamani OKW BOBAN SUNZU ipo kwenye signature
Kwani msheri hajawahi fungwa na simba?Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
Ndyooo mshery hana la kumuambia Ally, uliona jinsi alivyokua anaficha na kuokoa michomoo??Wala tusibishane kwenye kitu ambacho kitajiweka wazi chenyewe. Kwavile umesema gari imewaka, acha tuendelee kuliangalia ilo gari