Ally Salimu Tanzania One ajaye

Ally Salimu Tanzania One ajaye

Nimemkubali lakini anatakiwa kujifua zaidi, Natamani mechi ijayo dhidi Wydad asicheze.
 
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale.

Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.

Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
 
Huyu awe anapewa nafas mara kwa mara, anatufaa sanaa, ila tyuuh awe makini na Manulaa asije mpiga misumarii ikawa soo daaah.

Katuheshimisha jana.
Tena kwa mechi ya jana dogo ili awe safe inabidi aanze kumwamkia manula shikamoo hata mara tatu kwa siku, awe anambebea viatu mazoezini, awe anamfuta jasho kila wakimaliza mazoezi.

Yaani ajipendekeze kwli kweli kwa manula, vinginevo manula akiomba tuu likizo ya kwenda kusalimia turiani morogoro dogo imekula kwake.
 
Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
Mshery huyu afanane na Salim? Hebu acha zako wee, eti Hata Robo, sasa mshery ana nn??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nichekeee, gari limewakaa hivyooo.
 
Hapanaaa nayee akaage vizuri kwao, yaan awe ngangangaaa, manura akirusha kitu, kirudi kilikotokaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Salim ni kipaaa bhanaaa wee.
 
Mshery huyu afanane na Salim? Hebu acha zako wee, eti Hata Robo, sasa mshery ana nn??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nichekeee, gari limewakaa hivyooo.
Wala tusibishane kwenye kitu ambacho kitajiweka wazi chenyewe. Kwavile umesema gari imewaka, acha tuendelee kuliangalia ilo gari
 
Ni kipa mzuri, ila tukiweka ushabiki pembeni,bado anasafari ndefu sana kufikia hatua ya kuwa Tanzania one. Hajafikia hata robo ya uwezo wa Msheri, ambae nae sio Tanzania one
Kwani msheri hajawahi fungwa na simba?
 
Wala tusibishane kwenye kitu ambacho kitajiweka wazi chenyewe. Kwavile umesema gari imewaka, acha tuendelee kuliangalia ilo gari
Ndyooo mshery hana la kumuambia Ally, uliona jinsi alivyokua anaficha na kuokoa michomoo??

Wee acha kabisaaaa, Next Tz 1. Ally Salim.
 
Back
Top Bottom