Ally Salimu Tanzania One ajaye

Anatakiwa apate condidence kidogo atakuwa kipa mzuri jana mabeki walikuwa wanaogopa hata kumrudishia mpira.
 
Huyu bwana mdogo yupo vizuri ila ajirekebishe kwa haya ndiyo atakamilika vyedi.
1. Mipira ya krosi na kona bado hana timing nzuri ya kuicheza.
2.Anatema Sana mipira kuna mipira ni yakuficha na yakutema Ila unaitemea at least pembeni nje ya lango siyo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…