T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Jamaa umezingua nilikuwa napenda username ile na mwenzako mmoja ana avatar ya mnyama sijui kabadili jina kawa naniZamani OKW BOBAN SUNZU ipo kwenye signature
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa umezingua nilikuwa napenda username ile na mwenzako mmoja ana avatar ya mnyama sijui kabadili jina kawa naniZamani OKW BOBAN SUNZU ipo kwenye signature
Daah niliona username imepitwa na wakatiJamaa umezingua nilikuwa napenda username ile na mwenzako mmoja ana avatar ya mnyama sijui kabadili jina kawa nani
Ameshawahi, sijaelewa kwann umeuliza hivyo mkuu?Kwani msheri hajawahi fungwa na simba?
Umemsahau Asumani Mambosasa na Iddy Pazi.Mwameja
Kaseja
Manula
Kakolanya
Ali Salim
Athuman Mambosasaumemsahau Asumani Mambosasa na Iddy Pazi.
Omar MahadhMwameja
Kaseja
Manula
Kakolanya
Ali Salim
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale.
Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.
Dogo ana shida moja tu.dogo anapiga accurate passes kuliko kaka zake!
kwani kaka zake hawatemi?Dogo ana shida moja tu.
Anatema sana mipira.
Rifati Said RIPMwameja
Kaseja
Manula
Kakolanya
Ali Salim
Idi paziaMwameja
Kaseja
Manula
Kakolanya
Ali Salim
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale.
Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.
Athuman Mambosasa.Idi pazia
Omar mahadhi