Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Serikali imewahakikishia Wakulima na Wafugaji usalama katika shughuli zao za uzalishaji huku ikiwataka kushirikiana na Vyombo vya Usalama ili kuepuka wizi, utapeli hali itakayopelekea kufikia dhana dhima ya maendeleo ya kilimo,mifugo na Uvuvi.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu wakati alipotembelea mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane jijini Dodoma huku wadau wa kilimo Joseph Peter na Juvenal Munishi wakitoa maoni juu ya utapeli na uhalifu unaotokea katika sekta hiyo.