Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna uhusiano gani kati ya picha iliopigwa mwaka 1943 na kadi ya TANU iliyogaiwa mwaka 1954?!. Kwa nini uweke picha ya Sykes ya mwaka 1943 na kuinasibisha na Kadi ya TANU ya Mwalimu Nyerere ambalo ni tukio la mwaka 1954, wakati picha za Sykes na Nyerere za mwaka 1954 zipo tele kule maktaba ya Maalim Mzee MSA?.Nadhani mkuu maelezo yanaeleza kwamba pamoja na picha kupigwa mwaka 1943, lakin TANu baadae ndo ilianza, ila mwaka wa picha kupigwa ni mwaka 1943, japo TANu ni 1954
Hapo ninachojiuliza ni the motive behind and the logic?.
P.