Sio mimi siku ya kwanza waliponielekeza ofisi zao za mizigo maana nilifikia hapo shekilango nilitembea kwa mguu,Wewe🤣🤣. Toka Mawasiliano-Shekilango huwa tunatoza 3k(nimekupa code kunifahamu).
Ulipofika Shekilango, ukaaambiwa mzigo haupo pale, so kufika ukanipa 5k kiroho safi.
Wala sina hamu na wewe. Kuwa amani.Sio mimi siku ya kwanza waliponielekeza ofisi zao za mizigo maana nilifikia hapo shekilango nilitembea kwa mguu,
una hamu sana ya kunijua live live???? 😅😅😅 sio rahisi hivyo kama una hilo wazo lifute tu
Ulisoma nilichoandika humu😂😂 huwa naongeza na chumvi, kanuni ya humu ni kuishi kwa code tuWala sina hamu na wewe. Kuwa amani.
Ila Kwa Msuguri pale nilikukuta unatembea kuelekea Kibanda cha Mkaa ukiwa unaongea na simu.🤣
Mmm acha uoga🤣Ulisoma nilichoandika humu😂😂 huwa naongeza na chumvi, kanuni ya humu ni kuishi kwa code tu
Abood ni washenzi sana, sitokaa nifanye nao kazi tena kenge wa damu ya mzee wale.Wafanyakazi wa ofisi za mizigo makampuni ya mabasi ni vilaza hawajui kama hiyo mizigo ndipo kula yao ilipo hata pale Abood kuna aliyepo ofisi za mizigo opposite na ubungo plaza pale engen oil station kwa ndani kule ni mkaka maji ya kunde jina sijawahi kumkariri ana kiburi na nyodo balaa anafoka ovyo tu
Wasiwasi ndo akiliMmm acha uoga🤣
Halafu wenye maamuzi wala hawana tatizo, hao wahudumu sasa ndo full ushenziAbood ni washenzi sana, sitokaa nifanye nao kazi tena kenge wa damu ya mzee wale.
Wanakera sana, waangalie aina ya wafanyakazi wanaokuwa nao maana wanachangia pakubwa kuichafua kampuni.Halafu wenye maamuzi wala hawana tatizo, hao wahudumu sasa ndo full ushenzi
Kuna siku nilipiga zile namba zao nikawapa za uso, hawasikii labda mabosi wao wasome humuWanakera sana, waangalie aina ya wafanyakazi wanaokuwa nao maana wanachangia pakubwa kuichafua kampuni.
Siku hizi hawapokei simu, customer care yao ni mbovu sana.Kuna siku nilipiga zile namba zao nikawapa za uso, hawasikii labda mabosi wao wasome humu
Piga ya moro hiyo uhakikaSiku hizi hawapokei simu, customer care yao ni mbovu sana.
Hivi moro ndio ofisi kuu?Piga ya moro hiyo uhakika
Kwa Abood ndio, makao yao makuuHivi moro ndio ofisi kuu?
Kwa ustaarabu nadhani hawa wajomba wa waja lini waondoka lini walishavuka.Hongera Apewe Salu au Salim pale Ofc ya mizigo Tashrifu
Kiraisi raisi tuuWatu kama hao unalamba risasi tu
Mtu kama wewe huwezi kutekwaWasiwasi ndo akili