Almanusura brother kunyimwa mke ukweni

Vijana wa hovyo ndo wanapigia magoti wanawake... ndo maana ushoga unazidi kuongezeka
Hiki kitu kina trend sanaaa siku hiz sijui kimetoka wap .Vijana sijui tumetoa wap!!!.ila ni hatar sanaa
 
Ishu siyo kupigwa goti ishu hapo ni hiyo kuvishana pete,hivi haya mambo ya kishenzi shenzi mmeyarithi kutoka wapi?

Unamvalisha pete ili iweje na kwa faida ipi?
Kwenye kuvishana pete binafsi sion kama tatizo sana japo ni utamaduni tumeiga pia.
Ingawa katika hili la kuvishana pete pia kwa mtazamo wangu huwa sionagi ulazima wa kuliambatisha na masherehe makuuuuuubwa.

Ingawa kama uwezo unao ni wewe tu kuamua kutumia pesa zako
 
Wanyalu punguzeni baadhi ya mila zenu potofu zilizopitwa na wakati! Kwa hali hii tutaogopa kuja kuoa huko.
Familia yetu ishaoa kwa wanyalu hata kabla ya huyu brother lakin utaratib huu ndio kwa mara ya kwanza nimekutana hapo hii mara ya pili kias nikajiuliza ni suala la utamaduniwa Kabila au ndio utamaduni wa UKOO huu tu??!!!
 
Mm nashangaaga hata hizi engagement, dume linapiga goti ! Naghafilika Sana , yeye (ke) ndo anatakiwa apige goti, ama la tusimame wote ,,,,
Ndoa zenyewe adimu hiz, muolewaji alipaswa kunyenyekea ndoa 😂😂😂 just joking
 
Nadhan hata spiritual hili suala lina implications zake.
Kupiga goti ni ishara ya unyenyekevu na kuji submit kwa unayempigia goti.ni ishara ya kutii.Na kibiblia maandika yanabainisha watu mwanamke kumtii mwanaume wake.
 
Mbona mnatutisha sisi wanaume wa dar?
Tutaweza kweli misimamo ya hivo?
Mimi ningepiga tu kwani shingapi
Ahahahah hapana ujue kuna vitu hata bila kufundishwa unashangaa tu nafsi inakataaa kwamba hapa hapana bwana hii ni red line kabisa sitakiwi kuvuka unajikuta umeweka msimamo
 
Mkuu ungekubali tu maana nyie si ndio mnaolewa ?!😂😂
 
Huyo ndio bro Sasa,, amekaza kiume na amegoma kupiga magoti mbele ya mashangazi.

Misimamo ni muhimu kwa mwanaume hakuna kupiga goti mbele ya mwanamke hadharani ni kosa kubwa kijinsia.
Uki sahihi chief.
Ujue saa hii vijana tumekua nyolonyolo sanaaa ndio maana feminism ina zid gain popularity
 
Kuna sehemu pia ndugu yetu alienda kuoa!! Kufika kule wakati wa kula wakatuchimbia vishimo chini kwenye udongo na kuweka chakula eti muoaji ale kile kwenye udongo akakataaa!! [emoji23][emoji23]
 
Utoto mtupu ulifanya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…