Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchiz aligoma kabisaa.Na yeye akasema hivyo hivyo kama vipi warudisha mahali hapa hapa kabla hawatumia tuondoke nayoo 😂😂Hata mimi nisingepiga goti kama brother na hakuna ambaye angeninyima mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kuvishana pete binafsi sion kama tatizo sana japo ni utamaduni tumeiga pia.Ishu siyo kupigwa goti ishu hapo ni hiyo kuvishana pete,hivi haya mambo ya kishenzi shenzi mmeyarithi kutoka wapi?
Unamvalisha pete ili iweje na kwa faida ipi?
Familia yetu ishaoa kwa wanyalu hata kabla ya huyu brother lakin utaratib huu ndio kwa mara ya kwanza nimekutana hapo hii mara ya pili kias nikajiuliza ni suala la utamaduniwa Kabila au ndio utamaduni wa UKOO huu tu??!!!Wanyalu punguzeni baadhi ya mila zenu potofu zilizopitwa na wakati! Kwa hali hii tutaogopa kuja kuoa huko.
Nadhan hata spiritual hili suala lina implications zake.Leo kuna clip inatembea mitandaoni inamuonyesha mama mtu mzima akiwakanya vijana wa kiume wanaotarajiwa kuoa kamwe wasikubali kumpigia goti mwanamke wakati wa kumvisha Pete kwani itapelekea yule mwanamke ajione yeye ni ndie mwenye mamlaka kwako. Amesema kisaikolojia athari zake ni mbaya sana.
Ahahahah hapana ujue kuna vitu hata bila kufundishwa unashangaa tu nafsi inakataaa kwamba hapa hapana bwana hii ni red line kabisa sitakiwi kuvuka unajikuta umeweka msimamoMbona mnatutisha sisi wanaume wa dar?
Tutaweza kweli misimamo ya hivo?
Mimi ningepiga tu kwani shingapi
Usukumani mambo hayo hayapo nduguKivp mkuu.Hiz kitu ni kulingana na traditions za watu hivyo hata sisi hatukuja tunakwemda kutana na jambo kama hili.
Mkuu ungekubali tu maana nyie si ndio mnaolewa ?!😂😂Hiyo cha mtoto,juzi kati mdogo wangu wa kike,mchumba wake alikuwa anajitambulisha nyumbani kwetu,huyo shemeji yangu ni masai,chakula kilipikwa mapema sana toka saa 7 mchana tayari,kimbembe kilikuja pale tunawasubiri upande wa kiume waje kujitambulisha,tulisubiri wapi hawaji wala nini,nikimuuliza mdogo wangu mbona hao watu hawaji anasema wanakuja subirini,wajomba waliokuwa wametoka moshi wakaona bora waandoke,mama akawaita ndani wajomba wakapewa chakula ndio wakaondoka wakiwa wamechukia sana.
Tuliwasubiri wakaja mda wa saa 10 jioni,na Kigari Chao cha ist,wakiwa wamebeba ndizi mikungu 3,viazi gunia?mafuta dumu kubwa,sukari mfuko mmoja,mchele kilo 50,unga wa ngano kilo 25,kwenye hilo gari kulikuwa hakuna hata mwanaume mmoja,wote walikuwa wanawake.
Kumbembe kilikuja pale waliponiita,nikabebe ile mizigo,niligoma katu katu,yani mimi nikabebe mizigo iliyoletwa na wanawake,tena wamechelewa ,chakula kipo tu kinawasubiri mda wote hakuna aliyekula wanawasubiri mda wote,niliyona yale ni madharau niligoma katu katu mpaka wakatafuta watu wakusomba ile mizigo..
Uki sahihi chief.Huyo ndio bro Sasa,, amekaza kiume na amegoma kupiga magoti mbele ya mashangazi.
Misimamo ni muhimu kwa mwanaume hakuna kupiga goti mbele ya mwanamke hadharani ni kosa kubwa kijinsia.
Utoto mtupu ulifanya hapo.Hiyo cha mtoto,juzi kati mdogo wangu wa kike,mchumba wake alikuwa anajitambulisha nyumbani kwetu,huyo shemeji yangu ni masai,chakula kilipikwa mapema sana toka saa 7 mchana tayari,kimbembe kilikuja pale tunawasubiri upande wa kiume waje kujitambulisha,tulisubiri wapi hawaji wala nini,nikimuuliza mdogo wangu mbona hao watu hawaji anasema wanakuja subirini,wajomba waliokuwa wametoka moshi wakaona bora waandoke,mama akawaita ndani wajomba wakapewa chakula ndio wakaondoka wakiwa wamechukia sana.
Tuliwasubiri wakaja mda wa saa 10 jioni,na Kigari Chao cha ist,wakiwa wamebeba ndizi mikungu 3,viazi gunia?mafuta dumu kubwa,sukari mfuko mmoja,mchele kilo 50,unga wa ngano kilo 25,kwenye hilo gari kulikuwa hakuna hata mwanaume mmoja,wote walikuwa wanawake.
Kumbembe kilikuja pale waliponiita,nikabebe ile mizigo,niligoma katu katu,yani mimi nikabebe mizigo iliyoletwa na wanawake,tena wamechelewa ,chakula kipo tu kinawasubiri mda wote hakuna aliyekula wanawasubiri mda wote,niliyona yale ni madharau niligoma katu katu mpaka wakatafuta watu wakusomba ile mizigo..
Angekubali tuu alikua anaenda kuwa mume bwegeMila mbovu sana hio haifai. Hapo angekua chini ya mke milele na mashangazi wasingemheshimu daima
Mambo ya kishenzi sana hayo, na Ufipani huko Sumbawanga wana haya makitu ya kupigia magoti wakwe... ni mila za kiNGESE.Hayo makitu yabaki kwenu tu sisi Huku hatuna hayo
Mambo ya kitumwa hayaMambo ya kishenzi sana hayo, na Ufipani huko Sumbawanga wana haya makitu ya kupigia magoti wakwe... ni mila za kiNGESE.
Muache upuuzi nyieMbona mnatutisha sisi wanaume wa dar?
Tutaweza kweli misimamo ya hivo?
Mimi ningepiga tu kwani shingapi