Almanusura brother kunyimwa mke ukweni

Ahsante kwa taarifa, lkn ulikuwa unaweza kuwasilisha mada yako bila kumtaja lukuvi, marketing, sales, form 6, engegement maana sijaona ulazima wa maneno hayo
 
Bro wako kaonyesha unyonge sana, angekataa hata kumfuata kwa kutembea ilitakiwa hicho kimeo kimfuate alipokaa braza..sababu akishaoa ni kwamba wamembebesha msalaba ssa kwa nini anyenyekee?
Kimeo.....daaa hataree sana
 
Safi sana its very wrong. Mwanaume abaki mwanaume na mwanamke abaki mwanamke. Huyo mwanaume ana msimamo mzuri na hakuna alichokosea. Kwanza mashangaz wengne nuksi tu hawana jipya..wakwende uko.
Huo sio msimamo bali alikosa ustasrabu, angewambia tu aacha niwatafutie mtu wa kuwasaidia, vilevile ilikuwa ndio siku ya kujitambulisha hao wanawake walikuwa hawamjui na yawezekana siku hiyo brother alivaa vibaya akafanana na wabeba mizigo.
 
Safi Sana, sio fedheha tu bali kutembea kwa magoti maumivu yake sio ya kitoto
Binafsi ningekubali hata kukosa huyo mke
 
Iringa hakuna utaratibu wa mwanaume kupiga goti.
Huyo mwanamke walijipanga na shangazi zake kuleta mbwembwe tu.
Hongera kwa mkubwa kugoma
Ni upumbafu
 
Iringa hakuna utaratibu wa mwanaume kupiga goti.
Huyo mwanamke walijipanga na shangazi zake kuleta mbwembwe tu.
Hongera kwa mkubwa kugoma
Ni upumbafu
True brother etu mwingine mkubwa tulioa uheheni pia ila hatukukutana na hii kitu kabisaa
 
Safi Sana, sio fedheha tu bali kutembea kwa magoti maumivu yake sio ya kitoto
Binafsi ningekubali hata kukosa huyo mke
Umesema kwel mkuu mpaka najiulizaga hata mimi enzi za shule kupiga magot ilikua normal tu ila binafsi yangu siku hiz nipige magot dakika 5 aaaaahhhh magot yatauma kishenzi...nadhan utu uzima nao sababu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo sio msimamo bali alikosa ustasrabu, angewambia tu aacha niwatafutie mtu wa kuwasaidia, vilevile ilikuwa ndio siku ya kujitambulisha hao wanawake walikuwa hawamjui na yawezekana siku hiyo brother alivaa vibaya akafanana na wabeba mizigo.
Ahahhah mkuu acha utani basi.Unaweza chukulia poa suala la kuvaa siku zingine zoooote ila sio siku ya
1. Interview ya kazi
2. Interview ya mke ukweni..

Brother alikua amevaa akapendeza haswaaaa
 
Ahsante kwa taarifa, lkn ulikuwa unaweza kuwasilisha mada yako bila kumtaja lukuvi, marketing, sales, form 6, engegement maana sijaona ulazima wa maneno hayo
Ahsantee sana.
Haya yanaitwa mazungumzo baada ya habari chief.
Trust me, if it is not useful to you,it is beneficial for others.Again pole kama yameku bore maana haikua lengo
 
Kuna sehemu pia ndugu yetu alienda kuoa!! Kufika kule wakati wa kula wakatuchimbia vishimo chini kwenye udongo na kuweka chakula eti muoaji ale kile kwenye udongo akakataaa!! [emoji23][emoji23]
Maana yake hasa ni nini hii....yan walikua wana test kama muoaji anakula "tope" maana unyevu wa chakula na mchuz wake si unatengeza tope tope hapo chini.
Sasa angekuka tu ooohh hapo wana piga tick πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumpigia goti mwanamke ni dalili ya kupungikiwa afya ya akiliπŸ˜…πŸ˜…
 
Kabila gani Hilo bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…