homeland12
Member
- Aug 17, 2022
- 43
- 65
Ahsante kwa taarifa, lkn ulikuwa unaweza kuwasilisha mada yako bila kumtaja lukuvi, marketing, sales, form 6, engegement maana sijaona ulazima wa maneno hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeo.....daaa hataree sanaBro wako kaonyesha unyonge sana, angekataa hata kumfuata kwa kutembea ilitakiwa hicho kimeo kimfuate alipokaa braza..sababu akishaoa ni kwamba wamembebesha msalaba ssa kwa nini anyenyekee?
Huo sio msimamo bali alikosa ustasrabu, angewambia tu aacha niwatafutie mtu wa kuwasaidia, vilevile ilikuwa ndio siku ya kujitambulisha hao wanawake walikuwa hawamjui na yawezekana siku hiyo brother alivaa vibaya akafanana na wabeba mizigo.Safi sana its very wrong. Mwanaume abaki mwanaume na mwanamke abaki mwanamke. Huyo mwanaume ana msimamo mzuri na hakuna alichokosea. Kwanza mashangaz wengne nuksi tu hawana jipya..wakwende uko.
Iringa hakuna utaratibu wa mwanaume kupiga goti.Habari zenu wadau, mambo vipi?
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi tu nipate wateja (sales) wa kunipatia mkate wa kila siku nikajikuta niko Iringa mjini.
Hapa mimi ni nyumbani japo kiasili kwetu ni Mbeya Rungwe lakini wazee walijikuta iringa miaka mingi sana hivyo nimezaliwa hapa na elimu yangu yoote nimeipata hapa mpaka kuhitim kidato cha 6.
Kwahiyo kwakifupi nikawa nimerudi Iringa lakini kikazi zaidi na nilikua na plan ya kuwpo kwa siku 6 then ya 7 nigeukie upande mwingine.
Sasa basi, hapa home (nilifikia kwa wazee) nikakuta kuna ratiba ya kwenda maeneo fulani panaitwa KIWELE ambako huko brother alikua amechumbia na anataka kuoa huko.Hii kiwele ni Njia ya kwenda PAWAGA (haya ni maeneo ndani ya Wilaya ya Iringa vijijini chini uwakilishi wa Mh.LUKUVI [emoji23][emoji23] watu wanaogopa hata kum challenge aondoke).
Basi nikaulizwa kama nitakua na nafasi (ilikua ni siku kama ya 3 mbele toka nifike) ili nijumuike kwenye msafara.
Nikawaambie haina shida , by the way huyu ni brother kukataa kumpa company ni utovu wa nidham wa nje nje.Nikaweka ratiba sawa za nisikosekane.
Siku ya siku ikafika tukaelekea ukweni.Mimi, brother, madogo kadhaa, ma sister, ma aunt na baba na mama.
Baada ya kufika taratibu zote zikaendelea palee ikiwemo suala la kutoa na kupokea mahali (taratib ni ndefu ila kwa kifupi zilifuatwa na kama mjuavyo ni baadhi tu ya watu hujumuika kwenye ile session na sio wote kwa pande zote).
Kama mnavyojua sie wengine tusio na mambo mengine (YASIO NA MSINGI) kama ambavyo imezoeleka siku hizi, tuli plan siku hiyo ya kutoa mahali ndio pia Shemeji atavikwa PETE tufanye mambo simple tu isiwe sherehe separate kama wengi wafanyavyo.
Basi baada ya mahali NDIO KIMBEMBE KILIPOTAKA KUJITOKEZA.
Brother akatakiwa kwenda kuwasalimia mashangazi wa mkewe ambao wao walikua wamekaa location separate kabisa pale nyumbani (ilikua ni shughuli iliyohudhuriwa na ndugu wengi kidogo) na umbali walipokua wamekaa hawa watu ni kama mita 15 toka sitting room ambako mahali ilikua inakabidhiwa na distance hiyo ni mchanga tuuu na vumbi hadi kuwafikia mashangaji waliokua wame relax kwenye viti chini ya ka TENT flani hiv.
Sasa brother akaanza kupiga hatua kuelekea huko akiongozana na wazee na mshenga ndipo na huko ndiko shemeji alikokua na zoez zima la ENGAGENENT (kumvisha pete shemeji) lilitakiwa kufanyika.
akaambiwa sasa bwana huku unakokwenda UNAPASWA KUTEMBEA KWA MAGOTI MPAKA KUWAFIKIA MASHANGAZI NA KUPITA UWASABAHI UKIWA UMEPIGA MAGOTI...
Aaahhhh hapo sijui ilikuaje ila braza akagoma katakataaaaa..Yan ile strongly amamwambia mshenga wake (huku wazee baba na mama) wakisikia bayana kwamba "MIMI SIWEZI TEMBEA KWA MAGOTI KUMFUATA MKE WANGU NA NDUGU ZAKE ILI KUMVISHA PETE "
Akakataa katakata.Mshenga akamsisitiza sana ile kichini chini kwamba tutaaibika maana hiz ndio mila zao hawa na si unaona wanatungoja sisi kule tufike(maana sisi kiumeni tulikua huku na wao kikeni pamoja na wazaz wao walikua kule af hapa kat hizo mita 15 zimetu set apart ambapo braza anatakiwa kutangulia akitembea kwa miguu sis tukimfuata nyuma).
Braza akagomaa katakataaaa.."SIWEZIIIIII.KWANI MIMI NDIO NAMUOA YEYE AU YEYE NDIO ANANIOA MIMI?".
Baada ya zoez kuonekana gumu na hakuna dalili za braza kukubali ikabidi mzee/ baba yaan aingilie kati maana hata yeye hicho kitu kwa mbali niliona kama hajakielewa hiv ila akawa katulia tuuu shughul ana deal nayo mshenga.
Na ikumbukwe hapo wakwe zetu wakawa kama wameduwaa giv wanajiuliza nini kinaendelea kule mbona kama wana jadiliana badala ya kuja tumalize kazi? Ilichukua kama dakika 7 hiv katika hii sintofahamu.
Ikabidi mzee asogee mbele kidogo kuwaelekea wakwe zetu kwa unyenyekevu akasema Jaman kama mnavyojua VIJANA WA SIKU HIZI WAJUAJI hawapendi kufuata mila zetu.Sasa basi naomba kwakwel mumruhusu aje akiwa anatembea kawaida tu kama itawezekana..Basi upande wa pili nao wakajadili kama dakika 3 hiv kisha wakasema SAWA ..
Hapo sasa ndio tukabjongea kuelekea kunako mahala wakwe walipo ili kumaliza zoezi la Kutoa salamu na kumvisha pete mke wetu ila kwakua shemeji ALIJIPANGA KUPIGIWA GOTI KUVIKWA PETE akajikuta ameshindwa kuiga GOTI yeye pia hivyo wakavishana pete wima wima.
Ma aunt wakagewa Hi ki sela huku wamenunaaa [emoji23][emoji23]
Dah nikastaajab sana haya mambo ya mila yalivyo magumu.
Tukamaliza tukala tukanywa tukaondoka kurud iringa mjini.
Nikiwa njiana nikamuuliza brother kama angekaza mpaka mwisho hata kama ingem gharim kukosa mke ??mana alivunja taratibu za watu!!! AKASEMA KATU ASINGEWEZA KUMPIGIA MAGOTI MKEWE MBELE ZA WATU WALA HAWEZ PIGIA GOTI NDUGU YEYOTE WA MKE WAKAT YEYE NDIO ANAKABIDHIWA MTOTO WAO AKAMTUNZE.
"CHUMBANI PEKE YETU NAWEZA PIGIA MKE WANGU GOTI KAMA NIMEMKOSEA KOSA KUBWA SANA LA KUHATARISHA NDOA YETU ILA SIO HAYA MAMBO YA KIPUUZI YA KUCHORESHANA NISIJE NIKAJIKUTA NIMEKABIDHI NAFASI YANGU KAMA KICHWA KWA MKE WANGU KISHA AANZE KUNISUMBUA KUMBE YOTE NIMESABABISHA MWENYEWE.
Nikamkubali sana brother.
Uzi tayari
True brother etu mwingine mkubwa tulioa uheheni pia ila hatukukutana na hii kitu kabisaaIringa hakuna utaratibu wa mwanaume kupiga goti.
Huyo mwanamke walijipanga na shangazi zake kuleta mbwembwe tu.
Hongera kwa mkubwa kugoma
Ni upumbafu
Umesema kwel mkuu mpaka najiulizaga hata mimi enzi za shule kupiga magot ilikua normal tu ila binafsi yangu siku hiz nipige magot dakika 5 aaaaahhhh magot yatauma kishenzi...nadhan utu uzima nao sababu 😂😂Safi Sana, sio fedheha tu bali kutembea kwa magoti maumivu yake sio ya kitoto
Binafsi ningekubali hata kukosa huyo mke
Ahahhah mkuu acha utani basi.Unaweza chukulia poa suala la kuvaa siku zingine zoooote ila sio siku yaHuo sio msimamo bali alikosa ustasrabu, angewambia tu aacha niwatafutie mtu wa kuwasaidia, vilevile ilikuwa ndio siku ya kujitambulisha hao wanawake walikuwa hawamjui na yawezekana siku hiyo brother alivaa vibaya akafanana na wabeba mizigo.
Ha ha haa, tumeacha aiseeAhaaah acheni upimbi nyie mafala.Yan mwanaume akapigishwe got na mwanamke...never happen 😂😂
Ahsantee sana.Ahsante kwa taarifa, lkn ulikuwa unaweza kuwasilisha mada yako bila kumtaja lukuvi, marketing, sales, form 6, engegement maana sijaona ulazima wa maneno hayo
Maana yake hasa ni nini hii....yan walikua wana test kama muoaji anakula "tope" maana unyevu wa chakula na mchuz wake si unatengeza tope tope hapo chini.Kuna sehemu pia ndugu yetu alienda kuoa!! Kufika kule wakati wa kula wakatuchimbia vishimo chini kwenye udongo na kuweka chakula eti muoaji ale kile kwenye udongo akakataaa!! [emoji23][emoji23]
Sawa bhana nimeelewa. 😂Oya Bees, achen kabisaa haya makitu mkuu
😂Mimi ningeanza kutoa kipigo kwa wakwe kwa kosa la kunivunjia heshima.
Kabila gani Hilo bro.Habari zenu wadau, mambo vipi?
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi tu nipate wateja (sales) wa kunipatia mkate wa kila siku nikajikuta niko Iringa mjini.
Hapa mimi ni nyumbani japo kiasili kwetu ni Mbeya Rungwe lakini wazee walijikuta iringa miaka mingi sana hivyo nimezaliwa hapa na elimu yangu yoote nimeipata hapa mpaka kuhitim kidato cha 6.
Kwahiyo kwakifupi nikawa nimerudi Iringa lakini kikazi zaidi na nilikua na plan ya kuwpo kwa siku 6 then ya 7 nigeukie upande mwingine.
Sasa basi, hapa home (nilifikia kwa wazee) nikakuta kuna ratiba ya kwenda maeneo fulani panaitwa KIWELE ambako huko brother alikua amechumbia na anataka kuoa huko.Hii kiwele ni Njia ya kwenda PAWAGA (haya ni maeneo ndani ya Wilaya ya Iringa vijijini chini uwakilishi wa Mh.LUKUVI 😂😂 watu wanaogopa hata kum challenge aondoke).
Basi nikaulizwa kama nitakua na nafasi (ilikua ni siku kama ya 3 mbele toka nifike) ili nijumuike kwenye msafara.
Nikawaambie haina shida , by the way huyu ni brother kukataa kumpa company ni utovu wa nidham wa nje nje.Nikaweka ratiba sawa za nisikosekane.
Siku ya siku ikafika tukaelekea ukweni.Mimi, brother, madogo kadhaa, ma sister, ma aunt na baba na mama.
Baada ya kufika taratibu zote zikaendelea palee ikiwemo suala la kutoa na kupokea mahali (taratib ni ndefu ila kwa kifupi zilifuatwa na kama mjuavyo ni baadhi tu ya watu hujumuika kwenye ile session na sio wote kwa pande zote).
Kama mnavyojua sie wengine tusio na mambo mengine (YASIO NA MSINGI) kama ambavyo imezoeleka siku hizi, tuli plan siku hiyo ya kutoa mahali ndio pia Shemeji atavikwa PETE tufanye mambo simple tu isiwe sherehe separate kama wengi wafanyavyo.
Basi baada ya mahali NDIO KIMBEMBE KILIPOTAKA KUJITOKEZA.
Brother akatakiwa kwenda kuwasalimia mashangazi wa mkewe ambao wao walikua wamekaa location separate kabisa pale nyumbani (ilikua ni shughuli iliyohudhuriwa na ndugu wengi kidogo) na umbali walipokua wamekaa hawa watu ni kama mita 15 toka sitting room ambako mahali ilikua inakabidhiwa na distance hiyo ni mchanga tuuu na vumbi hadi kuwafikia mashangaji waliokua wame relax kwenye viti chini ya ka TENT flani hiv.
Sasa brother akaanza kupiga hatua kuelekea huko akiongozana na wazee na mshenga ndipo na huko ndiko shemeji alikokua na zoez zima la ENGAGENENT (kumvisha pete shemeji) lilitakiwa kufanyika.
akaambiwa sasa bwana huku unakokwenda UNAPASWA KUTEMBEA KWA MAGOTI MPAKA KUWAFIKIA MASHANGAZI NA KUPITA UWASABAHI UKIWA UMEPIGA MAGOTI...
Aaahhhh hapo sijui ilikuaje ila braza akagoma katakataaaaa..Yan ile strongly amamwambia mshenga wake (huku wazee baba na mama) wakisikia bayana kwamba "MIMI SIWEZI TEMBEA KWA MAGOTI KUMFUATA MKE WANGU NA NDUGU ZAKE ILI KUMVISHA PETE "
Akakataa katakata.Mshenga akamsisitiza sana ile kichini chini kwamba tutaaibika maana hiz ndio mila zao hawa na si unaona wanatungoja sisi kule tufike(maana sisi kiumeni tulikua huku na wao kikeni pamoja na wazaz wao walikua kule af hapa kat hizo mita 15 zimetu set apart ambapo braza anatakiwa kutangulia akitembea kwa miguu sis tukimfuata nyuma).
Braza akagomaa katakataaaa.."SIWEZIIIIII.KWANI MIMI NDIO NAMUOA YEYE AU YEYE NDIO ANANIOA MIMI?".
Baada ya zoez kuonekana gumu na hakuna dalili za braza kukubali ikabidi mzee/ baba yaan aingilie kati maana hata yeye hicho kitu kwa mbali niliona kama hajakielewa hiv ila akawa katulia tuuu shughul ana deal nayo mshenga.
Na ikumbukwe hapo wakwe zetu wakawa kama wameduwaa giv wanajiuliza nini kinaendelea kule mbona kama wana jadiliana badala ya kuja tumalize kazi? Ilichukua kama dakika 7 hiv katika hii sintofahamu.
Ikabidi mzee asogee mbele kidogo kuwaelekea wakwe zetu kwa unyenyekevu akasema Jaman kama mnavyojua VIJANA WA SIKU HIZI WAJUAJI hawapendi kufuata mila zetu.Sasa basi naomba kwakwel mumruhusu aje akiwa anatembea kawaida tu kama itawezekana..Basi upande wa pili nao wakajadili kama dakika 3 hiv kisha wakasema SAWA ..
Hapo sasa ndio tukabjongea kuelekea kunako mahala wakwe walipo ili kumaliza zoezi la Kutoa salamu na kumvisha pete mke wetu ila kwakua shemeji ALIJIPANGA KUPIGIWA GOTI KUVIKWA PETE akajikuta ameshindwa kuiga GOTI yeye pia hivyo wakavishana pete wima wima.
Ma aunt wakagewa Hi ki sela huku wamenunaaa 😂😂