Almanusura nitapeliwe

Sasa nawe ungetueleza walivyokuliza ili liwe fundisho kwetu tuongeze wigo wa kuchukua tahadhari.
 
nimecheka kuskia wakupe flight pass abiria [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi mmoja Mwana CCM alitapeliwa enzi za Magufuli kuwa amepata uteuzi na anahitajika Dodoma haraka sana next morning from Dar.

Wakafanya hivyo hivyo, sasa jamaa alikua mapepe sana, alivyopewa habari za kutuma pesa kwa Pilot hata hakuuliza mara mbili, katuma Kisha kakimbilia airport Dar...... kilichotokea ni story ndefu
 
 
Ebu niachwe bana, sielewi hata ilikuwaje ila sihitaji kukumbuka... kitu pekee cha kusema ni kwamba ukiona dili limekuwa zuri sana kuwa makini
Mie nilitaka kununua gari bandarini yale ambayo wameshindwa kulipa kodi. Jamaa mmoja nilichukua number zake mtandaoni anajinadi ni mty wa bandarini. Katika mawasiliano akawa ananambia tukutame yadi Morocco anionyeshe gari. Nikawa najiuliza Morocco Kuna yadi ya serikali wapi? Wakati nimekulia kinondoni zaidi ya miaka ishirini. Nikawapotezea. .

..Kuna mshikaji nilisoma nae chuo sema teye alikuwa darasa jingine. Mwaka 2018 akanitafuta tukakutana sinza kumekucha. Yule mshikaji akaanza kunipanga Kuna deal kubwa la Hela faida yake ni million 500 na zaidi kwa mwaka. Alivyo choko akaanza kuniita Mimi masikini Huku anahitaji Hela yangu. Eti nije na Hela tukutane na wawejezaji Kisha wanipe na risiti. Hakujua nimeaga Rombo nikamchana hizo habari za kindezi kwangu hamna. Text yake ya mwisho alinambia miaka mitatu baadae atakuwa mtu mie nitabaki kuwa masikini😆
Kuna siku nikiwa fire namuona Yuko na demu kambebea mizigo sijui demu wake. Kabeba mifuko kama wametoma kununua nguo. Evans kama uko humu ujue wewe ni choko tu. .
 
Atakua yupo huku
 
Hahah nimecheka kwa sauti hapa kwa mama.lishe kha!

Evans kala mashuti si ya kitoto. Hakupita hata na buku yako kweli?🤪🤪
 
[emoji23][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Nimecheka sana, Hakuna mchaga ndezi
 
Kuna moja huko LinkedIn muda huu ananyea karai....

Kuwanasa ni rahisi sana anajileta mwenyewe kama Kuku wa gulioni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…