Almanusura nitapeliwe

Almanusura nitapeliwe

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
IMG-20221112-WA0011.jpg

Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba.

Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha lafudhi ya nchi jirani akinielekeza kuwa nikifika wameniwekea reservation na watanirfund nauli. Nikaulizia how will I get there akasema nikifika Arusha kuna flight shuttlels za kubeba watalii nitatumia hizo ndege.

Baadaye kidogo akanipigia kunijulisha kuwa kuna ndege ya TANAPA inatokea Zanzibar ina nafasi ya mtu mmoja hivyo ameongea na pilot amemkubalia kunichukua. Akanitumia namba nikacheki na rubani ambapo alinitajia kiwango cha nauli akisisitiza nimtumie kwa mobile money. Nimpe majina yangu anitumie flight pass.

Tangu awali nilishaanza kunusa utapeli. Nikamrudia yule mdada kumweleza yote na kumuuliza,kwa nini wao wasimlipe rubani mimi nikapanda ndege nikaja? Akasema utaratibu wao ni kutoa refund na kama ninataka deal basi nijigharimie kwenda watanirudiahia nauli na watanipa ya kurudia.

Kuna watu kama wanne hivi nimekuta wanalalamika nyakati tofauti kuhusiana na hii kampuni...

Naweka screenshots za mawasiliano
Screenshot_20221112_094923.jpg

TANAPA jina lao linatumika kutapeli, lakini mamlaka ta Mawasiliano badala ya kushughulika na hawa wahalifu badala yake wanadukua nani kamsema kiongozi
 
Mimi walinipiga 100k mwaka juzi, haohao wa kujifanya watu wa safaris ila mimi ilikuwa tofauti kidogo maana, Hawa jamaa huwa wanfuatilia harakati zako unazofanya na kwa sasa biashara nyingi ni za online hivyo huwa wanachukua namba zako na ku-plan jinsi gani wakuingie.... Na kiukweli wapo vizuri maana wamejipanga kwelikweli.... Utawasiliana hadi na muhindu, Mzungu,Mjerumani au hata Mbongo mwenzako kwa jisi tu watakavyokuwa wamekuundia mpango, Kuchomoka ilikuwa ngu kwangu maana waliingia hivyohivyo kama wateja.
 
View attachment 2414204

View attachment 2414207
TANAPA jina lao linatumika kutapeli, lakini mamlaka ta Mawasiliano badala ya kushughulika na hawa wahalifu badala yake wanadukua nani kamsema kiongozi
Hawa jamaa wana wizi wa kishamba sana, lakini mjini wajinga hawaishi ndio maana kila siku kuna watu wanapigwa
 
Mimi walinipiga 100k mwaka juzi, haohao wa kujifanya watu wa safaris ila mimi ilikuwa tofauti kidogo maana, Hawa jamaa huwa wanfuatilia harakati zako unazofanya na kwa sasa biashara nyingi ni za online hivyo huwa wanachukua namba zako na ku-plan jinsi gani wakuingie.... Na kiukweli wapo vizuri maana wamejipanga kwelikweli.... Utawasiliana hadi na muhindu, Mzungu,Mjerumani au hata Mbongo mwenzako kwa jisi tu watakavyokuwa wamekuundia mpango, Kuchomoka ilikuwa ngu kwangu maana waliingia hivyohivyo kama wateja.
Aisee kama hauna Roho wa Bwana hauchomoki
 
Si ungewaambia utapanda gari za magazeti mkuu [emoji28]
Mkuu hayo niliwaambia nije na usafiri hadi chuga kisha ndo nipande hizo ndege za watalii.
Lakini walipie kilakitu. Wahuni tu hawa
 
Back
Top Bottom