Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamimba ya Magufuli... wengine watadai zimetoka Tz. Kwamba lau marehemu angalikuwepo "wizi" huu usingalitokea. Fact ni kwamba katika nchi zenye madini, Tz haipo hata 10 bora.
Ni vizuri kuelezana ukweli kuondoa ujinga uliojaa baadhi yetu vichwani kudhani Tz ndiye mama wa resources duniani. Brainwash mbaya sana!