... wengine watadai zimetoka Tz. Kwamba lau marehemu angalikuwepo "wizi" huu usingalitokea. Fact ni kwamba katika nchi zenye madini, Tz haipo hata 10 bora.
Ni vizuri kuelezana ukweli kuondoa ujinga uliojaa baadhi yetu vichwani kudhani Tz ndiye mama wa resources duniani. Brainwash mbaya sana!