mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Yap mkuu sio mbaya kabisami naona wafanye kama russia badae arudi kugombea tena walah hata ingekuwa ni baada ya 20yrs ntampa kura yangu
Asante japo sio positive attitude kuwa na surplus, huo umeme unatikiwa ukatumike viwandani japo viwanda vikubwa Tanzania kwa sasa vinatumia natural gas kujizalishia umeme wao wenyewe, Kenya mna umeme mwingi na umeme mwingi zaidi unaenda viwandani.Hiyo surplus Ni kubwa kweli... hongereni.
Sasa uliposema hukuona kijiji hata kimoja kisicho na umeme wa REA ulimaanisha nini kumbe nawe hujielewiKijijini kwenu ni moja kati ya vijiji vilivyobaki sababu report haisemi kwamba vijiji vyote vina umeme.
Hii ni uongo, It should be 100%
Tena Sana inafaa kuwa 97%. Mbona anadanganya kuwa ni 67% ilhali sote tunajua Ni zaidi ya hio.
Mnazuga huku mkiuguliaMbna bado naona wamekosea hesabu..tanzania kw umeme sio mchezo bana..sidhani km kuna nyumba haina umeme kw sasa
Hahahaha, inauma sana kuona KRA inakusanya pesa mingi lakini hakuna kinachofanyika, hakuna MAJI wala UMEME, Nairobi penyewe MAJI ni mgao, kipindupindu hakiishi. Unaposikia jirani yako anafanya mambo makubwa kukuzidi kwa kutumia bajeti ndogo, lazima utacha ganyikiwa. Kitu cha kujifunza ni kwamba, tatizo la Afrika sio pesa bali ni matumizi bora ya pesa. Karibuni mje kujifunza.We need to go there for benchmarking on how to generate ghost electricity that can serve 70% of 60million people.
Kwa misifa tu uko sawa.Sure siku hizi ukienda kijijini kama upo town tu, saa mbili unacheki habari, una tumia internet vizuri, yani likizo una itumia vizuri. Ata ukiwa town ukiwafikiria wazee unakua unatabasamu kwa sababu unajua wapo kwenye mwanga.
Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.Hahahaha, inauma sana kuona KRA inakusanya pesa mingi lakini hakuna kinachofanyika, hakuna MAJI wala UMEME, Nairobi penyewe MAJI ni mgao, kipindupindu hakiishi. Unaposikia jirani yako anafanya mambo makubwa kukuzidi kwa kutumia bajeti ndogo, lazima utacha ganyikiwa. Kitu cha kujifunza ni kwamba, tatizo la Afrika sio pesa bali ni matumizi bora ya pesa. Karibuni mje kujifunza.
Angalizo; Mkifuka huku lazima mrudi kwenu, msizamie kama wale wenzenu sita.
Yaani hii speed Tanzania tunayoondoka nayo sio mchezo
So far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwenye
Electric supply
Safe and Clean water supply
Tarmac road network
High quality of health services
Good education
Dah Em wengine ongezeni sababu nimechoka
View attachment 1219340
π JPM is a Treasure π
Akili ndogo ndio shida yenu, kwanza huo ni mwingi kwa mahitaji yetu ya sasa. Tuambie ili kusambaza UMEME vijiji na miji yote ya Tanzania, kiasi gani cha UMEME kinahitajika?Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.
Ugua taratibu, sisi tupo mwanganiIt's good you have stated that the statement was issued by the 'minister of foreign affairs'.
Karibu nifikiri ni UN ama IMF.. π π π
CCM propaganda and stats, cooked in their dingy office in Dar is slum.
Tanzania electricity connection is not more than 30%. Na hata wewe unajua hivyo. Hio ndio sababu umeleta hii thread hapa, badala ya jukwaa la siasa. Huko ungetoanishwa ukweli.
A whole country with as much minerals as South Africa, needs to have at least 10,000 megawatts for it to be 70% connected. Yet Tanzania has 1200 megawatts. π π π π π π π π π π π π
Hahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.It's good you have stated that the statement was issued by the 'minister of foreign affairs'.
Karibu nifikiri ni UN ama IMF.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
CCM propaganda and stats, cooked in their dingy office in Dar is slum.
Tanzania electricity connection is not more than 30%. Na hata wewe unajua hivyo. Hio ndio sababu umeleta hii thread hapa, badala ya jukwaa la siasa. Huko ungetoanishwa ukweli.
A whole country with as much minerals as South Africa, needs to have at least 10,000 megawatts for it to be 70% connected. Yet Tanzania has 1200 megawatts. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa nimekuwa akili ndogo kwa kukubali kuwa 90% ya Tz ipo na umeme? Mpo kwa lait tlak joto hongera kwenu.Akili ndogo ndio shida yenu, kwanza huo ni mwingi kwa mahitaji yetu ya sasa. Tuambie ili kusambaza UMEME vijiji na miji yote ya Tanzania, kiasi gani cha UMEME kinahitajika?
Tunajua Hili linawauma sana, tena hizo megawatts ulizozitaja bado ni nyingi sana, mikoa mingi Tanzania haina matumizi makubwa ya umeme, home appliances hazili umeme, mjinyongeKweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.
Hahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.
Ugua taratibu, sisi tupo mwangani
Tena JPM alivyoingia tu na bei ya unit kashusha, umeme mpaka vijijini, nina zaidi ya miezi 7 sijawahi ona giza
Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.
Aangalie attachment hapo inaonesha matumizi ya umeme kwa baadhi ya mikoa kisha alinganishe na hiki kiwanda kimoja tu, ajue kwamba wingi wa megawatts sio wingi wa matumizi bali zipo factorsHahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.