Almost 70% of Tanzania is electrified

Almost 70% of Tanzania is electrified

Hiyo surplus Ni kubwa kweli... hongereni.
Asante japo sio positive attitude kuwa na surplus, huo umeme unatikiwa ukatumike viwandani japo viwanda vikubwa Tanzania kwa sasa vinatumia natural gas kujizalishia umeme wao wenyewe, Kenya mna umeme mwingi na umeme mwingi zaidi unaenda viwandani.
 
Kijijini kwenu ni moja kati ya vijiji vilivyobaki sababu report haisemi kwamba vijiji vyote vina umeme.
Sasa uliposema hukuona kijiji hata kimoja kisicho na umeme wa REA ulimaanisha nini kumbe nawe hujielewi
 
We need to go there for benchmarking on how to generate ghost electricity that can serve 70% of 60million people.
Hahahaha, inauma sana kuona KRA inakusanya pesa mingi lakini hakuna kinachofanyika, hakuna MAJI wala UMEME, Nairobi penyewe MAJI ni mgao, kipindupindu hakiishi. Unaposikia jirani yako anafanya mambo makubwa kukuzidi kwa kutumia bajeti ndogo, lazima utacha ganyikiwa. Kitu cha kujifunza ni kwamba, tatizo la Afrika sio pesa bali ni matumizi bora ya pesa. Karibuni mje kujifunza.

Angalizo; Mkifuka huku lazima mrudi kwenu, msizamie kama wale wenzenu sita.
 
Sure siku hizi ukienda kijijini kama upo town tu, saa mbili unacheki habari, una tumia internet vizuri, yani likizo una itumia vizuri. Ata ukiwa town ukiwafikiria wazee unakua unatabasamu kwa sababu unajua wapo kwenye mwanga.
Kwa misifa tu uko sawa.
 
Hahahaha, inauma sana kuona KRA inakusanya pesa mingi lakini hakuna kinachofanyika, hakuna MAJI wala UMEME, Nairobi penyewe MAJI ni mgao, kipindupindu hakiishi. Unaposikia jirani yako anafanya mambo makubwa kukuzidi kwa kutumia bajeti ndogo, lazima utacha ganyikiwa. Kitu cha kujifunza ni kwamba, tatizo la Afrika sio pesa bali ni matumizi bora ya pesa. Karibuni mje kujifunza.

Angalizo; Mkifuka huku lazima mrudi kwenu, msizamie kama wale wenzenu sita.
Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.
 
Yaani hii speed Tanzania tunayoondoka nayo sio mchezo

So far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwenye

Electric supply
Safe and Clean water supply
Tarmac road network
High quality of health services
Good education

Dah Em wengine ongezeni sababu nimechoka

View attachment 1219340

💎 JPM is a Treasure 💎

It's good you have stated that the statement was issued by the 'minister of foreign affairs'.
Karibu nifikiri ni UN ama IMF.. 😂 😂 😂

CCM propaganda and stats, cooked in their dingy office in Dar is slum.

Tanzania electricity connection is not more than 30%. Na hata wewe unajua hivyo. Hio ndio sababu umeleta hii thread hapa, badala ya jukwaa la siasa. Huko ungetoanishwa ukweli.

A whole country with as much minerals as South Africa, needs to have at least 10,000 megawatts for it to be 70% connected. Yet Tanzania has 1200 megawatts. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ugua taratibu, sisi tupo mwangani
Tena JPM alivyoingia tu na bei ya unit kashusha, umeme mpaka vijijini, nina zaidi ya miezi 7 sijawahi ona giza
 
Karibu nifikiri ni UN ama IMF.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

CCM propaganda and stats, cooked in their dingy office in Dar is slum.

Tanzania electricity connection is not more than 30%. Na hata wewe unajua hivyo. Hio ndio sababu umeleta hii thread hapa, badala ya jukwaa la siasa. Huko ungetoanishwa ukweli.

A whole country with as much minerals as South Africa, needs to have at least 10,000 megawatts for it to be 70% connected. Yet Tanzania has 1200 megawatts. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.
 
Akili ndogo ndio shida yenu, kwanza huo ni mwingi kwa mahitaji yetu ya sasa. Tuambie ili kusambaza UMEME vijiji na miji yote ya Tanzania, kiasi gani cha UMEME kinahitajika?
Sasa nimekuwa akili ndogo kwa kukubali kuwa 90% ya Tz ipo na umeme? Mpo kwa lait tlak joto hongera kwenu.
 
Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.
Tunajua Hili linawauma sana, tena hizo megawatts ulizozitaja bado ni nyingi sana, mikoa mingi Tanzania haina matumizi makubwa ya umeme, home appliances hazili umeme, mjinyonge

Screenshot_2019-09-30-13-59-33.png
 
Mengine tuongee tuache upendeleo. Kijijini kwetu Ibwera tulipata umeme mwaka 2012, tukapata maji 2015 kabla ya Magufuli na siyo kijiji changu tu ila wilaya nzima ya Bukoba vijijini hivyo tuache ushabiki tuseme ukweli. Tukumbuke mradi wa REA haudhaminiwi na serikali yetu ya Tanzania na mradi wa maji umekuwepo miaka kumi na tano iliyopita. Tunampa mtu mmoja sifa tunasahau wale ambao wametembea na kuomba hii misaada mpaka tukaipata. Please stop be biased na wengine wanastahili sifa.
 
Hahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.

Kwanini niumie na stats za CCM jikoni? 😂 😂 😂 Fake stats as usual.
Hata bila viwanda, you need 5,000 mw minimum to be 70% connected.

UN, USAID etc. wote wamesema mko 30%. Hao ndio tutaamini.
 
Ugua taratibu, sisi tupo mwangani
Tena JPM alivyoingia tu na bei ya unit kashusha, umeme mpaka vijijini, nina zaidi ya miezi 7 sijawahi ona giza

Pelekea wenzako wa CCM ujinga. 😂 😂 😂
Out here we have brains.
Nchi ya 78% below poverty line na hapa unaleta obviously cooked stats. 😂😂😂 Jaribu kwingine.
 
Kweli mkuu tatakuja kujionea Nchi ya ajabu na miujiza inayoweza kusambazia wananchi wake umeme 90% kutoka kea 1369MW. I love it.

Waje watufunze one or two things. 😂😂😂
Tanzania ya miujiza.
 
Hahahaha, mnaumia sana mkiona mambo makubwa yanafanyika Tanzania. Ngoja nikupe shule. Viwanda ndio vinavyotumia umeme mwingi kuliko sehemu nyingine yoyote, ikufuatiwa na migodi mikubwa. 50% ya viwanda vyetu vinatumia gas, na hatuna MIGODI mikubwa mingi ya MADINI kwa sasa, haifiki Kumi. Kwasasa UMEME tunaizalisha ni zaidi ya mahitaji yetu, hata kwenu kwa sasa mnazalisha zaidi ya mahitaji yenu.
Aangalie attachment hapo inaonesha matumizi ya umeme kwa baadhi ya mikoa kisha alinganishe na hiki kiwanda kimoja tu, ajue kwamba wingi wa megawatts sio wingi wa matumizi bali zipo factors

Wakenya ni mbumbumbu wa kutupwa

Screenshot_2019-09-30-13-59-33.png

Back
Top Bottom