Almost 70% of Tanzania is electrified

Almost 70% of Tanzania is electrified

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Yaani hii speed Tanzania tunayoondoka nayo sio mchezo

So far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwenye

Electric supply
Safe and Clean water supply
Tarmac road network
High quality of health services
Good education

Dah Em wengine ongezeni sababu nimechoka

EFrtfaoWoAAtp2-.jpeg

💎 JPM is a Treasure 💎
 
Sure mzee by then umeme kukatika hakuna tena watu wamesahahau majenereta
Blackouts zilikua unpredictable, time yoyote umeme unakatika, saivi umeme haukatiki kabisa, 2014 umeme ilikua unakatika kila baada ya siku 1 kwa muda wa karibu mwaka mzima, umeme ukija watu wanashangilia

Saivi umeme upo wa kutosha ila watanzania haya yote wamesahahau
 
Ukali wa Magu unawafanya watu wakimbi kimbie maana ukizubaa tu, unaonyeshwa mlango. Ata hili la umeme kuto katika kuna watu walitimuliwa kwa sababu ya umeme kukatika katika. Sasa hivi umeme ukikatika dakika 20 nyingi umesharudi juzi nili bet na mtu nika mwambia ndani ya dakika 10 umeme utakua umesharudi nikamshinda. Hapo imepita miezi zaidi ya mitatu ulikua hujakatika.
 
Huu ni uongo i should be 90%, nilikua nafanya project na organisation moja tulitembea almost 80% ya rural Tanzania, sikuona kijiji hata kimoja kisicho na umeme wa REA
Sure siku hizi ukienda kijijini kama upo town tu, saa mbili unacheki habari, una tumia internet vizuri, yani likizo una itumia vizuri. Ata ukiwa town ukiwafikiria wazee unakua unatabasamu kwa sababu unajua wapo kwenye mwanga.
 
Ukali wa Magu unawafanya watu wakimbi kimbie maana ukizubaa tu, unaonyeshwa mlango. Ata hili la umeme kuto katika kuna watu walitimuliwa kwa sababu ya umeme kukatika katika. Sasa hivi umeme ukikatika dakika 20 nyingi umesharudi juzi nili bet na mtu nika mwambia ndani ya dakika 10 umeme utakua umesharudi nikamshinda. Hapo imepita miezi zaidi ya mitatu ulikua hujakatika.
Imagine nilienda visiwa vya ziwa Victoria upande wa Muleba maarufu kama visiwa vya kimoyomoyo (kuna samaki wa ajabu huku, sato sangara ni kama mchicha) kutoka Muleba mjini mpaka visiwani huko ni zaidi ya 5000 unapanda boats lakini huwezi amini nilikuta vile visiwa vinaunganishwa na umeme wa REA, umeme umepita chini ya ziwa, kilometres za kutosha kuingia visiwani, hapo ndio nilimvulia Magufuli's kofia.
 
Hapo sawa magu ni nyoko acheki na kima serikalini
 
Mkuu visiwani kule serikali imesema itapeleka umeme visiwa vyote na vile ambavyo vipo mbali sana watapeleka umeme wa solar (ujue ziwa Victoria lina visiwa zaidi ya 200)

Hii ni kazi inayoendelea Singida kwa sasa View attachment 1219399View attachment 1219400View attachment 1219401View attachment 1219402
Mkuu ata mimi mwanzoni mwa mwaka nilienda Muleba ndani ndani maeneo ya Itongo ndani ya gari tulianza ku discuss ukubwa wa Tz na matumizi ya kodi. Yani lami zinajengwa na vijiji vyote vina umeme halafu ukiangalia wananchi wakule ni wakawaida ila ndiyo hivyo serikali inapeleka maendeleo bila kuchagua.

Hapo Singida Kalemani alikuta nguzo kibao zimehifadhiwa akatoa agizo kwa mameneja ndani ya mwezi mmoja Tz nzima nguzo zote ambazo Tanesco wame zihifadhi kwenye ofisi ziwe zime simikwa. Hapo nyuma tamko kama hilo lingeishia juu kwa juu, Sasa hivi meneja usitekeleze umpe point waziri. Unatumbiliwa on camera.
 
Imagine nilienda visiwa vya ziwa Victoria upande wa Muleba maarufu kama visiwa vya kimoyomoyo (kuna samaki wa ajabu huku, sato sangara ni kama mchicha) kutoka Muleba mjini mpaka visiwani huko ni zaidi ya 5000 unapanda boats lakini huwezi amini nilikuta vile visiwa vinaunganishwa na umeme wa REA, umeme umepita chini ya ziwa, kilometres za kutosha kuingia visiwani, hapo ndio nilimvulia Magufuli's kofia.
Ndio maana naipenda nchi yangu Tanzania kwa sababu huwa maendeleo yanasambazwa kote kote sio kama nchi zingine maendeleo ni mjini tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom