kwenda sambamba maana yake nyie ni parallel line, ambazo huwa hazikutani.
Anyway, wewe ni Ke au Me.
Sema naye, usisubiri hisani wa watu wa marekani.
hivi Konny.....ukubwa wa Timbuktu ni km ngapi za mraba tena....nimesahau....
kitandani una vaa night dress?vua uwe kama ulivyozaliwa tumia udi,perfume,cheni ya kiuno akukute kitandani umemtengea
Kwani wewe ni KE/ME kama ni KE jaribu kuzungumza nae mkiwa chumbani huku ukifanya yale mautundu yenu ya mara umebana pua mara unjifanya kanga imeanguka bahati mbaya then uone kama jamaa hatuingia line.Mamboz jf...jaman naitajikusikia mawazo yenu,I have a lover na kikweli nampenda saaana.mwanzo tulikua tunaenda sambamba kihisia za mapenzi napo jihisi natamani yeye pia alionekana kutaka na tukipeana likizo ni only a week,sasa mwenzangu kabadilika anakaa ata mwezi tunalala 1bed lakini doing nothing all month,fanya kama wewe ni mimi ungemfikiliaje na ungefanya nini
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa