almost a month in 1 bed doing nothing,what should i do?!

Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa

Ana miaka mingapi?? Coz, inaweza hakuzoea kulala na mke.....

Au alizoea kupiga punyeto na anafanya kwa siri!!!!

Pole
BTW; ni bora kuwa gfriend & bfriend kuliko kuoana!!!!!
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia. Tabia ya sitaki nataka inaumiza moyo, nini kinakufanya ujikaushe wakati unataka? sema usikike upatiwe huduma. Ukiendeleza tabia hii utampoteza. Ole wako aangukie mikononi mwangu!
 
Tuko pa1 huu unaenda mwaka wa3 nisha ongea nae zaid yamara2 mara nyingi yeye ndie alie kuwa muanzaji lakini sasa mimi nimekua muanzaji tena wakubembeleza,mara aseme "please niache nilale" mara leo siko poa kila siku ana sababu mpya...nimemvumilia huu mwez wa6 lakin ndo kwanza inazidi
 
Nimtu mzima wakutosha 36years old..
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia. Tabia ya sitaki nataka inaumiza moyo, nini kinakufanya ujikaushe wakati unataka? sema usikike upatiwe huduma. Ukiendeleza tabia hii utampoteza. Ole wako aangukie mikononi mwangu!

Happy sikuwa ctaki nataka napotaka namuonesha kuwa nataka mbali na kumwambia kuwa nataka lakini yeye anadai kuchoka anahitaji pumzika utafanya nini na huyu jaman
 
Hajui formula ya ndoa.'UKIKUBAL KUOLEWA SHARTI ULALE BILA CHUPI..'pil daah.. Stuka kuna wenzio watakuwa wanatumia kwa tigo coz siku hz washaona ndo mtindo..
 
Kama kapata mtu anampa tigo mimi nifanyenae nini?!mimi sinathaman tena? Siwatu husema ukianza mchezo huo huachi! Wanaume wameingiliwa napepo gani jamani!!!
 
Tuko pa1 huu unaenda mwaka wa3 nisha ongea nae zaid yamara2 mara nyingi yeye ndie alie kuwa muanzaji lakini sasa mimi nimekua muanzaji tena wakubembeleza,mara aseme "please niache nilale" mara leo siko poa kila siku ana sababu mpya...nimemvumilia huu mwez wa6 lakin ndo kwanza inazidi

pole ni mapito ya kawaida
je ulishawahi kumhisi anatoka nje au kubadilika kitabia zaidi?
 
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa

most probably atakuwa anachoka au ana mpenzi mwingine nje, yaani hana hamu na wewe...sasa jaribu kuongea nae akupe sababu ya kuwa hivyo...
 
Back
Top Bottom