Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa
Ana miaka mingapi?? Coz, inaweza hakuzoea kulala na mke.....
Au alizoea kupiga punyeto na anafanya kwa siri!!!!
Pole
BTW; ni bora kuwa gfriend & bfriend kuliko kuoana!!!!!
Matatizo mengine ni ya kujitakia. Tabia ya sitaki nataka inaumiza moyo, nini kinakufanya ujikaushe wakati unataka? sema usikike upatiwe huduma. Ukiendeleza tabia hii utampoteza. Ole wako aangukie mikononi mwangu!
Kama kapata mtu anampa tigo mimi nifanyenae nini?!mimi sinathaman tena? Siwatu husema ukianza mchezo huo huachi! Wanaume wameingiliwa napepo gani jamani!!!Hajui formula ya ndoa.'UKIKUBAL KUOLEWA SHARTI ULALE BILA CHUPI..'pil daah.. Stuka kuna wenzio watakuwa wanatumia kwa tigo coz siku hz washaona ndo mtindo..
Tuko pa1 huu unaenda mwaka wa3 nisha ongea nae zaid yamara2 mara nyingi yeye ndie alie kuwa muanzaji lakini sasa mimi nimekua muanzaji tena wakubembeleza,mara aseme "please niache nilale" mara leo siko poa kila siku ana sababu mpya...nimemvumilia huu mwez wa6 lakin ndo kwanza inazidi
hahahaaaa we Kongosho wewee!kwenda sambamba maana yake nyie ni parallel line, ambazo huwa hazikutani. Anyway, wewe ni Ke au Me. Sema naye, usisubiri hisani wa watu wa marekani.
Thanx guy, nitajitaidi kufanya kila ushauri wenu but I never sleep with night dress,hata umshike wap haamki...anadai mazoezi lakini siku zote alikua anafanya mazoezi na haki yangu napewa