Kidogo naanza kupata farajaMkuu toka huko kwenye ku feel guilty,,, ruhusu kupenda na kupendwa tena,, some people find love at 60's,,, it doesn't matter how your story has been,,,,,you can still find that special someone,,,be happy and confident with yourself and actively search for that special someone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu akaribie kundini sio?Welcome to the club [emoji22]
Wapenzi wa watu wakoje?Namba inasoma ngapi now? Wachana na wapenzi wa watu. Muombe Mungu akuoneshee wako ni yupi...
Me sio 'jamaa, jamaa ni aina ya sabuni.Jamaa kazingua sana. Anadhani natania
Mpenzi wako nae ana mpenzi wake.Wapenzi wa watu wakoje?
Nitajisikia mwenye faraja kama utanijulia hali kila siku.Me sio 'jamaa, jamaa ni aina ya sabuni.
Nimechukua muda wangu kukujulia hali unasema nazingua? Binadamu nyieee [emoji23]
Sharing is caringMpenzi wako nae ana mpenzi wake.
Nimezingua nini? Mtu hana hata wa kum'wish goodnight jamani. Me nimejitolea tena naonekana mzinguaji?!! 🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unazingua
Hudhuria kwenye nyumba za ibada, huko utapata mkuuHuenda ikawa ndio sababu ya mimi kuwa mpweke?
Imebidi ni 'reread. Sijaona sehemu kasemea chochote kuhusu Mungu. Au ni team Kiranga huyu? Basi nimpe tu pole sitokuwa na msaada zaidi.Atamuombaje Mungu wakati haamini kama yupo?
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa unanitenga tena wakati tulianza vizuri?Imebidi ni 'reread. Sijaona sehemu kasemea chochote kuhusu Mungu. Au ni team Kiranga huyu? Basi nimpe tu pole sitokuwa na msaada zaidi.