Aloneym,Music Producer anaekuja kwa kasi sana Bongo.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Ukiachana na kina Kimambo,Moko genius wa Imagination production,Oscy boy music,Blacq Boy,Yokeyz Morento aka the Mixing Killer,Ammy Wave wa Switch music group,Yogo beat na S 2 Kizzy wa Pluto ambao ni Ma'producers wapya na wanafanya vizuri sana kwenye Kutayarisha midundo,kufanya Mixing na Mastering,Kuna Chalii anaitwa Aloneym Gonzalez Lizandro 'Its Nou Aloneym On The Track'ambae kaanzia mbanga zake za Kunyonga beatz uko Zanzibar then aka'move Darisalade/Dar,,Anasikika sana Nowdayz kwenye Ngoma nyingi zinazotoka,Nimejaribu kuskiliza baadhi ya ngoma nyingi tu ambazo ni hitz kazi'produce huyu Ninja..Hitz baadhi tu alizo'produce ni-:Bembea ya Aslay X Alikiba,Carino ya Nedy Music na Singah,Kiswaswadu ya Osama na Podo,Nyang'anyang'a ya Aslay,Finaly ya Beka flavour,Perfomance ya Mwasiti na G-Nako,Hatutaki kesi ya Mr.Blue na Rich Mavoko..Nafikiri chalii ni tyme yake saiv.
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    48.1 KB · Views: 29
Ukiona watu hawa'comment hivi ujue wameenda kurisiti mitihani ya darasa la saba(7)
 
Ila s2kissy hajui mixing
True that,,S 2 Kizzy ngoma nyingi alizo'produce Mixing anazifanyiaga Laizer,mfano Mapopo ya Lulu Diva,Dokoa ya Whozu nk.utasikia"Laizer on the Mix"
 
Hiyo ngoma ya aslay x alikiba sio hit song haijafanya vizuri labda hiyo ya beka finally na ya mwasiti na gnako ndo zimefanya vizuri
 
Hahaha ndo kwanza ina wiki Chaliangu!!Tuipe time.
Kama ngoma yako imeshafikisha wiki alafu haijafanya vizuri ujue kabisa haitafanya vizuri kutokana na nyimbo zinazotoka ni nyingi inasababisha rotation ya ngoma yako inakuwa ndogo labda Kama ngoma yako inafanya vizuri mtaani itasaidia bahati mbaya hiyo ngoma hata mtaani haisikiki
 
Game ya Bongo imeshikiliwa na wenye majina ndio maana Maproducer wapya wengi wanatolewa na wasanii kuliko wao kutoka kwa kuwatoa wasanii wapya. Kwahiyo inategemea na upepo wa wasanii upo kwa producer gani na mara nyingi Producer akipata jina na kuanza kutaka kulipwa kulingana na ukubwa wa jina lake anakimbiwa maana wasanii wa bongo kulipia upande wa Audio Recording huwa wanaamini hawastahili hivyo hutafuta maproducer wapya wawanyonye kwanza.

namaanisha bongo kuna maproducer wengi na wenye vipaji ila wanataka kulipwa malipo wanayoyastahili, mfano Producer Much More wa K Records. REF.
 

Attachments

Wakuu.. Vipi Production Iliyofanyika Humu?? Producer Anaitwa #Kitonzo..


Toeni Maoni...
 
S2kizzy ni Producer mpya?? serious?
 
"E="Joseverest, post: 32819944, member: 173455"]
Hivi ndio yule mwenye sign ya yule dada anasema Ooh My God its better sound?
[/QUOTE]Yeah ndo uyo Producer wa Kondeboy"Ai ai is Boongaa"alaf mwishoni ndo inapigwa ile"Ooh My God its Better Sound""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…