Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Ukiachana na kina Kimambo,Moko genius wa Imagination production,Oscy boy music,Blacq Boy,Yokeyz Morento aka the Mixing Killer,Ammy Wave wa Switch music group,Yogo beat na S 2 Kizzy wa Pluto ambao ni Ma'producers wapya na wanafanya vizuri sana kwenye Kutayarisha midundo,kufanya Mixing na Mastering,Kuna Chalii anaitwa Aloneym Gonzalez Lizandro 'Its Nou Aloneym On The Track'ambae kaanzia mbanga zake za Kunyonga beatz uko Zanzibar then aka'move Darisalade/Dar,,Anasikika sana Nowdayz kwenye Ngoma nyingi zinazotoka,Nimejaribu kuskiliza baadhi ya ngoma nyingi tu ambazo ni hitz kazi'produce huyu Ninja..Hitz baadhi tu alizo'produce ni-:Bembea ya Aslay X Alikiba,Carino ya Nedy Music na Singah,Kiswaswadu ya Osama na Podo,Nyang'anyang'a ya Aslay,Finaly ya Beka flavour,Perfomance ya Mwasiti na G-Nako,Hatutaki kesi ya Mr.Blue na Rich Mavoko..Nafikiri chalii ni tyme yake saiv.
@NgarenaroBoy.
@NgarenaroBoy.