Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Wamfukuze tu kwani si atajiajiri mwenyewe kama Millard Ayo. Ni ngumu sana kumnyima mtu kula. Ukiziba huku anafungua kuleDuru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."
Nukuu ya chanzo;
Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.
Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.
Chanzo.
Mm mpaka Leo hii siamini kwanini mama Samia amekubali kuingizwa mkenge.....Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."
Nukuu ya chanzo;
Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.
Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.
Chanzo.
Hawa wasaidiwe kuanzisha vituo vyao binafsiNukuu ya chanzo;
Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.
Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.
Chanzo.
Star tv ni televisheni ya ccm. Bwana diallo ni bosheni tu.Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."
Nukuu ya chanzo;
Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.
Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.
Chanzo.
Hawawezi, kuna wazalendo wapo macho.Wasiwaue tu