Alpha Blondy afunga ndoa na Bi Aisha kutoka Tunisia

Huwa wanawaachia shida sana ndugu zao hasa pale wanapoaga dunia na kuwaacha wake zao vigori wakidai mali ambazo hata zilivyochumwa hawazijui.
 
Dah mkongwe ajichukulia kitu kipya. Amefanya vizuri kueneza upendo dunia hii ni moja, kama anavyohubiri ktk nyimbo zake umuhimu wa upendo bila kujali wapi unatoka au una imani gani

Song Jerusalem by Apha Blondy


Source : Alpha Blondy
Safi mzee....
 
Huyu mzee ni shida. Sauti yake haipotezi mvuto miaka nenda rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…