Alphard vs vellfire

We nyumbu unajua maana ya Luxury wewe?

Nasikia uvivu kubishana na wewe maana u know nothing.
 
Acha matusi jibu hoja, tafiti zinaonesha kuwa mtu akiishiwa hoja huanza matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna watu hawana akili, mfano unakuta mtu anamshabikia asadi mvunja kanuni na taratibu, mara mtu analeta mada kusema msikiti umevunjwa kumbe ujenzi umesitishwa etc watu ka hao ni bora wawe pimb
 
Samahani nje ya mada hivi ni kwanini ToYota Vanguard ina bei kubwa kuliko Toyota kluger wakati kimuonekano kluger imekaa fresh halafu kama zinafanana kwa vitu vingi mfano unakuta Kluger used ina milioni 21-23 wakati Vanguard 30+ anayefahamu atujuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vanguard kali zaidi halfu iko advanced kulik kluger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…