mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Alphard?We komaa na lumumba huko mambo ya magari unajua zero.Tafiti zinaonesha gari nzuri, luxury car/family car duniani ni Alphard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alphard?We komaa na lumumba huko mambo ya magari unajua zero.Tafiti zinaonesha gari nzuri, luxury car/family car duniani ni Alphard
Sikiliza ewe pimb. Alphard ni gari zuri sana ila inayoongoza kwa uraha na ugharama ni Nissan ELGRAND.Alphard?We komaa na lumumba huko mambo ya magari unajua zero.
Labda utafiti huo umefanyikia Lumumba we nyumbu.Sikiliza ewe pimb. Alphard ni gari zuri sana ila inayoongoza kwa uraha na ugharama ni Nissan ELGRAND.
Alphard ni more efficient zaidi na cost saving luxury car.
Mbn kma zote zinaendana au no moja?? Wajuaji nitoen ushambaHiyo hapo nilipiga picha hapo maeneo ya Mnazi mmoja(Pugu Road).Hizi gari zipo sana mitaa ya posta especially maeneo yenye Bureau de change...View attachment 983820
#Muungwana_John
Pimb kabisa, lione bichwa ka kidole, huna akili kabisa. Nenda search uone nilichokiandikaLabda utafiti huo umefanyikia Lumumba we nyumbu.
Acha matusi jibu hoja, tafiti zinaonesha kuwa mtu akiishiwa hoja huanza matusi.Pimb kabisa, lione bichwa ka kidole, huna akili kabisa. Nenda search uone nilichokiandika
Unajua kuna watu hawana akili, mfano unakuta mtu anamshabikia asadi mvunja kanuni na taratibu, mara mtu analeta mada kusema msikiti umevunjwa kumbe ujenzi umesitishwa etc watu ka hao ni bora wawe pimbAcha matusi jibu hoja, tafiti zinaonesha kuwa mtu akiishiwa hoja huanza matusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio dunia nzima ila kwako uliowahi kuzitumia hiyo ndiyo nzuriTafiti zinaonesha gari nzuri, luxury car/family car duniani ni Alphard
napingana na huu utafiti wako...huko kwenye nchi za wenzetu kuna gari za muundo huo ukikaa ndani yake ina raha mpka unahisi kupiga bao..Tafiti zinaonesha gari nzuri, luxury car/family car duniani ni Alphard
..
Na hili ndio jibu sahihi mkuu.
Vijana wanajidanganya eti hio ndio luxury car.napingana na huu utafiti wako...huko kwenye nchi za wenzetu kuna gari za muundo huo ukikaa ndani yake ina raha mpka unahisi kupiga bao..
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisaaa....wenzetu kule ulimwenguni wana magari kwa nje yanaonekana ya kawaida ila hapo ndani hiyo comfortability yake haielezeki,...sasa sisi tunaoishi huku duniani bado hatujakutana na magari ya maanaVijana wanajidanganya eti hio ndio luxury car.
Vanguard kali zaidi halfu iko advanced kulik klugerSamahani nje ya mada hivi ni kwanini ToYota Vanguard ina bei kubwa kuliko Toyota kluger wakati kimuonekano kluger imekaa fresh halafu kama zinafanana kwa vitu vingi mfano unakuta Kluger used ina milioni 21-23 wakati Vanguard 30+ anayefahamu atujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Vanguard kali zaidi halfu iko advanced kulik kluger
kipendacho roho....ndiyo maana hata nguo unayoipenda kuna mtu haipendi hata kuiona....Sijawahi kupenda gani ambazo ni van kwa kwelii na hata cjui watu wanapendea nini hii migari hataa haivutii