Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo.
Amekimbia Muda wake mzuri (Personal Best), tutarajie Makubwa katika Mbio za Jumuiya ya Madola yatakafanyika Birmingham au Mbio za Dunia zitazofanyika Oregon Marekani 15 Julai -24 Mwaka huu.
Amekimbia Muda wake mzuri (Personal Best), tutarajie Makubwa katika Mbio za Jumuiya ya Madola yatakafanyika Birmingham au Mbio za Dunia zitazofanyika Oregon Marekani 15 Julai -24 Mwaka huu.