Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri (PB-1:00:03)

Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri (PB-1:00:03)

Kaka Hapo Kwenye mbio za Jumuiya Ya Madola Birmighama UK nimeelewa…
Ila Ulivyosema Tena Mbio za Dunia Marekani???
Ni Mbio gani hizo? Olympic?Boston au Zipi?
Sababu mpira wa Miguu ndio kuna Kombe la Dunia….Sijawahi Kusikia Mbio za Dunia Kaka…
Ufafanuzi Please

OREGON WELCOMES THE WORLD:
JULY 15–24, 2022​


The World Athletics Championships are coming to the United States for the first time ever.​

 
Ni Suala la Muda Tuu Kaka…[emoji41][emoji41][emoji851]
Mchezo utakaochomoza tuu Ndio Utapewa Kipaumbele Muda utaongea…[emoji41]
Na Riadha Tanzania utachomoza soon ...baada ya Filbert Bayi na wenzake kubwaga manyanga chini...
 
Back
Top Bottom