Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Tulipaswa kuwa na akina Simbu kama 20 hivi,sielewi kwa nini hawa vijana wadogo hawachangamkii hii fursa.Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo...
Kawa wangapi?Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo...
| Pos. | Name | Time |
|---|---|---|
| 1 | Jacob Kiplimo | 00:57:56 |
| 2 | Rodgers Kwemoi | 00:58:30 |
| 3 | Kenneth Kiprop Renju | 00:58:35 |
| 4 | Seifu Tura Abdiwak | 00:58:36 |
| 5 | Amdework Walelegn Tadese | 00:58:40 |
| 6 | Daniel Kibet Mateiko | 00:58:45 |
| 7 | Alexander Mutiso Munyao | 00:58:48 |
| 8 | Abel Kipchumba | 00:59:47 |
| 9** | Alphonce Felix Simbu TAN | 01:00:03 |
| 10 | Kennedy Kimutai | 01:00:10 |
| 11 | Richard Yator Kimunyan | 01:00:11 |
| 12 | Abayneh Degu Tsehay | 01:00:25 |
| 13 | Isaac Kibet | 01:00:32 |
| 14 | Ronald Kiprotich Kirui | 01:00:36 |
| 15 | Shifera Tamru Aredo | 01:00:47 |
| 16 | Mathew Kipkorir Kimeli | 01:01:29 |
| 17 | Titus Kipjumba Mbishei | 01:01:53 |
| 18 | Petros Amanal | 01:02:36 |
| 19** | Joseph Panga TAN | 01:03:01 |
| 20** | Faraja Lazaro Damasi TAN | 01:03:04 |
Kaka Hapo Kwenye mbio za Jumuiya Ya Madola Birmighama UK nimeelewa…Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo...
Why do Tanzanians always aim and are satisfied when they are second best? Don't they have what it takes to be the best!!!?
Mnajisifia kuwa watu wa 9? Je mgekuwa wa kwanza?
Kaka Hapo Kwenye mbio za Jumuiya Ya Madola Birmighama UK nimeelewa…
Ila Ulivyosema Tena Mbio za Dunia Marekani???
Ni Mbio gani hizo? Olympic?Boston au Zipi?
Sababu mpira wa Miguu ndio kuna Kombe la Dunia….Sijawahi Kusikia Mbio za Dunia Kaka…
Ufafanuzi Please
Tulipaswa kuwa na akina Simbu kama 20 hivi,sielewi kwa nini hawa vijana wadogo hawachangamkii hii fursa.
Why do Tanzanians always aim and are satisfied when they are second best? Don't they have what it takes to be the best!!!?
Mnajisifia kuwa watu wa 9? Je mgekuwa wa kwanza?
Tulipaswa kuwa na akina Simbu kama 20 hivi,sielewi kwa nini hawa vijana wadogo hawachangamkii hii fursa.
World Athletics (IAAF) huwa wana mbio za dunia...google IAAF world championship
Hiyo kuacha mpira kuhamia riadha sahauKaka All in All Kwa Tanzania wanariadha wanajitahidi mnooo…Licha Ya Kuwa Mpira wa Miguu ndio Umepewa Kipaumbele Kwa Fedha na Promotion…Lakini ndio mchezo au Haufanyi Vizuri Kabisa huo Mpira wa Miguu…
After two years Utakuja Kuniambia Riadha itakuwa wapi!
Itakuwa juuu sanaa Mnooo…
Riadha Kupitia Social runners na Kwenye vikundi Mbali mbali wanajitahidi Kuuhamasisha sana Huu Mchezo!
Ipo Siku watu wataweka Footbal pembeni watahamia Riadha…Soon[emoji41]
Ndoto za alinacha....Kaka All in All Kwa Tanzania wanariadha wanajitahidi mnooo…Licha Ya Kuwa Mpira wa Miguu ndio Umepewa Kipaumbele Kwa Fedha na Promotion…Lakini ndio mchezo au Haufanyi Vizuri Kabisa huo Mpira wa Miguu…
After two years Utakuja Kuniambia Riadha itakuwa wapi!
Itakuwa juuu sanaa Mnooo…
Riadha Kupitia Social runners na Kwenye vikundi Mbali mbali wanajitahidi Kuuhamasisha sana Huu Mchezo!
Ipo Siku watu wataweka Footbal pembeni watahamia Riadha…Soon[emoji41]
Hiyo kuacha mpira kuhamia riadha sahau
Inshallah!Kaka All in All Kwa Tanzania wanariadha wanajitahidi mnooo…Licha Ya Kuwa Mpira wa Miguu ndio Umepewa Kipaumbele Kwa Fedha na Promotion…Lakini ndio mchezo au Haufanyi Vizuri Kabisa huo Mpira wa Miguu…