BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Alphonce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Kulinda Ikolojia ya Hifadhi ya Mahale na Hifadhi ya Katavi amesema lengo la mradi ni kusaidia Wanyamapori kuendelea kuwepo huku Abel Mtui ambaye ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi akisisitiza umuhimu wa upatikanaji wa magari yaliyotolewa katika kuhakikisha ufanisi wa kazi unakua imara.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameagiza uoto wa asili uliopotea kurejeshwa ili kuhakikisha hifadhi zote zilizoko Mkoa wa Kigoma na Katavi kuendelea kuleta ustawi wa nchi