Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ashika nafasi ya Pili kwa muda wa Saa mbili na Dakika tano na sekunde Thelathini na Tisa (2:05:39) na kuwa muda wake mzuri (PB) yaani (Personal Best).
Huku Mwanariadha Jackline Sakilu akishika nafasi ya Nane kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na Sita (2:26:50), muda mzuri kwake (Personal Best) na Hivyo muda huo kumfanya kuwa Mwanariadha wa pili wa kike kufuzu mashindano ya Kimataifa ya Olimpiki ya Paris 2024 yanayotarajiwa kufanyika Paris Ufaransa 2024.
Pia imefikisha jumla ya wanariadha wanne wa Tanzania waliofuzu 2024 Paris Olympics, wengine wakiwa ni Gabriel Gerald Geay , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Chrispine Shauri.
Mbio hizi Shanghai Marathon ni kati ya Mbio 12 kubwa zaidi duniani zenye Platnum Label.