Alphonce Temba: Kamati ya Kuondoa Malori Dar inaundwa na mtu mwenye 'yard', atamshauri nini RC?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
"Uongezekaji wa Malori nchini umekuwa muda mrefu, tangu Mwaka 2014 tuko hapa ITV tunazungumza hili suala mpaka leo, msongamano uko mwingi tangu mzani ukiwa pale Kibaha bado kulikuwa na msongamano, niwape elimu Watanzania pale Bandarini ni Boda," Alphonce Temba - Mwakilishi wa Wananchi.

Video: ITV
 
Kila RC akija anaunda kamati mpya kuhusu malori, na zote zinafeli. Why? Kwa sababu kamati zenyewe zinajazwa watu wanaofaidika na hilo tatizo. Hawa jamaa wanaenda kulipana posho tu lakini at the end of the day, malori yatabaki palepale barabarani.
 
Aliewaza kujenga bandari kavu na kuitumia kwara il
"Uongezekaji wa Malori nchini umekuwa muda mrefu, tangu Mwaka 2014 tuko hapa ITV tunazungumza hili suala mpaka leo, msongamano uko mwingi tangu mzani ukiwa pale Kibaha bado kulikuwa na msongamano, niwape elimu Watanzania pale Bandarini ni Boda," Alphonce Temba - Mwakilishi wa Wananchi.

Video: ITV
i

Kwara ingefanya kazi kidogo ingepunguza mjazano wa maroli kati kati ya dar es salaam
 
Sasa GSM ana ICD (bandari kavu) yake Binafsi pale Sokota na anapiga hela vibaya sana,akina Scaba muuzaji madawa nguli nchi hii ana ICD
 
Back
Top Bottom