"Uongezekaji wa Malori nchini umekuwa muda mrefu, tangu Mwaka 2014 tuko hapa ITV tunazungumza hili suala mpaka leo, msongamano uko mwingi tangu mzani ukiwa pale Kibaha bado kulikuwa na msongamano, niwape elimu Watanzania pale Bandarini ni Boda," Alphonce Temba - Mwakilishi wa Wananchi.
Video: ITV