Alshabaab wahamisha goli kwanini walivamia, wasema kero yao kwa sasa ni Trump kuitambua Jerusalem

Alshabaab wahamisha goli kwanini walivamia, wasema kero yao kwa sasa ni Trump kuitambua Jerusalem

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna watu wengi wanatiririka humu wakiomba KDF itoke Somalia na kuwaachia mashababi, eti ndio suluhu pekee ya kuzuia uvamizi wao. Ifahamike gaidi hutumia vurugu kama mtaji wake, neno 'amani' humnyima tonge, jitihada zozote za kuleta amani huwa njia za kumzuia raha.
Sasa wametoa tamko na kusema sababu zao za kuvamia hiyo hoteli ni kwamba Trump kawakera sana alipoitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Kawaida kwa tamko kama hilo hapo ufadhili wa hela utawafikia maana wanakua wamejipa kiki kwenye level ya ugomvi na Trump.
------------------------------------

Al-Shabaab says Trump’s Jerusalem move led to attack
The Somalia-based terrorist group, Al-Shabaab, have disclosed the motive behind a terrorist attack on an upscale area of the Kenyan capital, Nairobi, on Tuesday.

According to the group, United States president Donald Trump’s decision to recognize Jerusalem as the capital of Israel was their main motivation.

Reuters quoted a statement released by the group as saying: “The Mujahideen (holy warriors) carried out this operation … (as) a response to the witless remarks of U.S. president Donald Trump and his declaration of Al-Quds (Jerusalem) as the capital of Israel.”

The last time Al-Shabaab “clashed” with Trump was in July 2017, months after the president took office. The group in a video described Trump as a brainless millionaire whose actions was endangering Americans.

The video confirmed by the SITE Intelligence Group contained a viral video Trump tweeted about him ‘beating’ CNN – his main target in the ‘fake news’ war with a section of the U.S. media.

It also shows a masked Al-Shabaab soldier who claimed even though Americans had visions of a great nation upon the election of Trump, ‘‘what they underestimated, however, was the man’s level of stupidity,’‘ adding that what Americans got with Trump was “arguably the most stupid president a country could ever have.’‘

The soldier continues after Trump ‘beats’ CNN, to describe him as ‘‘a brainless billionaire who succeeded in making the United States, the greatest joke on earth’‘ – with a video showing Trump shoving Prime Minister of Montenegro during a NATO summit in May this year.
According to him, just six-months in charge and the American electorate wish they could turn back the hands of time to elect a more rational and mature candidate.
About the group Al-Shabaab
Al-Shabaab controls parts of Somalia and has staged attacks in neighbouring countries especially in Kenya. They are opposed to democracy and are pushing to establish a country run on strict Islamic law – Sharia.
They control areas of the rural parts of the Horn of Africa country. They enforce compliance to strict Islamic rules including cutting hands of thieves and stoning to death. They have their own courts, police and educational systems.
Successive Somali governments have vowed to crush the militants with President Farmaajo offering them amnesty soon after coming into office, he asked them to come to the negotiation table.
The group has continually called the government’s bluff and has claimed a series of bomb attacks on civilian populations and some military installations. A 2016 Intergovernmental Authority on Development (IGAD) report labeled them as a transnational security threat in East Africa.
The Al-Qaeda affiliated group is currently fighting the Somali national army and an African Union force (AMISOM) which pushed them out of Mogadishu years back. The U.S. also offers technical support to the government in the fight.

Kenya attack death toll hits 21, Al-Shabaab cites Trump as motivation | Africanews
 
Sielewi. Sasa Mbona wakenya wasio na hatia wafe kwa sababu ya doughnut dumb? Is Jerusalem in Kenya? Is Kenya Israel? Are Kenyans trump?
 
Hao nyie ndie punching bag lao,yan hata wakiuziwa na wake zao wanakuja kumalizia hasira hapo kwao,njia nzuri ni kuwaachia nchi wauane wenyewe mpk watakapochoka

Tuliwaachia wachinjane wenyewe kwa miaka 20 ambapo ilitugharimu balaa, wakimbizi walifurika kwetu na wengi wakitinga mtaani na silaha, ikawa changamoto la kufa mtu. Kwa sasa utulivu Somalia ni nafuu kwetu na ukanda wote huu, pale tumekingia kifua maana kuna mengi yangetokea. Ikumbukwe wapiganaji wengi wa alshabaab sio Wasomali, wametokea nchi za mbali wengine wametokea hata Tanzania na Kenya.
 
Hao nyie ndie punching bag lao,yan hata wakiuziwa na wake zao wanakuja kumalizia hasira hapo kwao,njia nzuri ni kuwaachia nchi wauane wenyewe mpk watakapochoka
Jombaa, hivi hukumbuki kwamba Tz pia ilishambuliwa mwaka wa 98? Kwa kisingizio kwamba walikuwa wanamfata mmarekani? Je unajua kwamba alshabaab
ina uhusiano na walofanya uhuni huo, alqaeda? Usije ukadhani kwamba mashambulizi ya kigaidi ni dhidi ya Kenya pekee yake. Ndio maana wanasema kwa kimombo kwamba 'terrorism is a global phenomenon'. Hawa nguruwe hawafai kabisa.
 
US ku support balozi kuwa jerusalemu ulikua ninuchokozi dhidi ya wapalestina
 
Tulipata funzo pale,toka kipindi kile tumejiweka mbali na mataifa makubwa yanayoandamwa na magaidi kwenye masuala ya kigaidi,yan hata km tupo,tupo kwa mbali sana,hatutaki kujionyesha,maana vita na hawa mavampire ni ngumu sana,hamna anaeiweza,kenya iko front sana kwa hao jamaa,ndio maana wakiwa na hamu ya kufanya ushetani wao wa kuua innocent people uwa wanafanyia kwenu
Jombaa, hivi hukumbuki kwamba Tz pia ilishambuliwa mwaka wa 98? Kwa kisingizio kwamba walikuwa wanamfata mmarekani? Je unajua kwamba alshabaab
ina uhusiano na walofanya uhuni huo, alqaeda? Usije ukadhani kwamba mashambulizi ya kigaidi ni dhidi ya Kenya pekee yake. Ndio maana wanasema kwa kimombo kwamba 'terrorism is a global phenomenon'. Hawa nguruwe hawafai kabisa.
 
Washenzi tu!!msomali na Jerusalem/palestina wapi na wapi.Tatizo LA waafrica tunajifanya kuijua dini kuliko waanzilishi.Qatal kila Siku wanawekeza mabilioni ya shilingi ili wawe na uchumi mzuri kwa ajili ya familia zao,sasa hao wapuuzi wamekufa huku waliowatuma wanakunywa wine na kubaka wanawake.Hawa watu watu wenye misimamo ya kipuuzi ni bora kuwauwa kimya kimya na kuwatupa ufukweni kabla hawajaleta madhara
 
Mwombeni awajengee ukuta
Maana cctv mmeweka bila kujua zina kazi gani
Unaweka camera halafu hakuna wa kuziangalia mpaka tatizo linapotokea

Toeni watu wenu huko kama ni mkaa umeisha

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hiyo inawahusu nini Wakenya?
Nimekumbuka shule flani waliwahi kufanya mgomo wanafunzi walipoulizwa kero zao ili zitatuliwe wakasema wanataka World Cup Brazil irudiwe eti LMAO!
 
Tulipata funzo pale,toka kipindi kile tumejiweka mbali na mataifa makubwa yanayoandamwa na magaidi kwenye masuala ya kigaidi,yan hata km tupo,tupo kwa mbali sana,hatutaki kujionyesha,maana vita na hawa mavampire ni ngumu sana,hamna anaeiweza,kenya iko front sana kwa hao jamaa,ndio maana wakiwa na hamu ya kufanya ushetani wao wa kuua innocent people uwa wanafanyia kwenu
Sio rahisi hivyo kama unavodhania. Akili za hawa nguruwe huwa zimevurugwa saaanaa na bado mna mabalozi ya hizo nchi ambazo mnasema hamhusiani nazo. Kumbuka kwamba vijana wengi wa kitanzania wapo Somalia wamejiunga na alshabaab na wawili wao walihusika kwenye lile shambulizi la Garissa University. Tuache kufumbia macho haya masuala, na kuchekana. Tuangamize ugaidi ukanda huu kwa pamoja, la sivyo hapo baadaye tutakuja juta.
 
Jombaa, hivi hukumbuki kwamba Tz pia ilishambuliwa mwaka wa 98? Kwa kisingizio kwamba walikuwa wanamfata mmarekani? Je unajua kwamba alshabaab
ina uhusiano na walofanya uhuni huo, alqaeda? Usije ukadhani kwamba mashambulizi ya kigaidi ni dhidi ya Kenya pekee yake. Ndio maana wanasema kwa kimombo kwamba 'terrorism is a global phenomenon'. Hawa nguruwe hawafai kabisa.
yes terrorisim is a global phenomenon bt sio kwa warusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yes terrorisim is a global phenomenon bt sio kwa warusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa hii kauli yako sio kweli kabisa, chimbuko la alqaeda na Usama BL lilikuwa ni vita vya mujahideen wa Afghanistan dhidi ya mrusi. Kwenye nchi zilizokuwa chini ya muungano wa mrusi, USSR pia walikumbana na wapiganaji wengi sana wa kijihadi. Alafu hivi majuzi tu mrusi alikuwa vitani akipambana kuiangamiza ISIS.
 
nadhani unaijua reaction ya warusi wakifanyiwa ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom